Edsger wybe Dijkstra
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 244
- 491
naijua tu port louis ndo mji mkuu, lengo ni kwenda kufanya kazi ,nipe mwongozo mkuu wapi patanifaa.Una mpango wakufika port Louis, blue bay au deflacq mkuu?
ahsante mkuu,sio mbaya ukinipa mwongozo kama ww ni mwenyeji uko.Nenda Salama mzee
SA ata mm niliwai pafikiria ila sasa ile xenophobia mixer operation dudula ilinitisha sanaMi nataka niende SA ....michongo hasa kwa jinsi ke
Uoga ndo umaskini wako....tusepe mkuuSA ata mm niliwai pafikiria ila sasa ile xenophobia mixer operation dudula ilinitisha sana
Endelea kufikiria na TZ mkoa gani ukienda nati zinalegea.Fikiria Morogoro na Mbeya/Iringa kwa Kilimo na Arusha au Mwanza kwa kununua na kuuza Mifugo Dar nk.Habari zenu wanajukwaa,nna mpango wa kwenda Mauritius kusaka life, naomba wenyeji wa huko mnipe habari mbali mbali zinazohusiana na nchi hiyo hasa katika masuala ya uchumi- ajira na biashara na mambo mengineyo.
hii bongo ni ngum sana ata uwe na elimu gan bdo shida tu.
karibuni wenyeji
Usitishike mkuu ,wewe nenda kihalali na ingilia SA mlangoni sio dirishani au kuruka ukuta, ukiwa na permit yako the rest ni history, je umesomea nini maana SA wana list yao ya critical skills na kupata PR ni less than 120days, otherwise njoo huku Lingusenguse mkuu tulime, sisi Wandendeule tuna ukarimu kwa wageniSA ata mm niliwai pafikiria ila sasa ile xenophobia mixer operation dudula ilinitisha sana
Port Louis ni mji uliochangamka, unategemea wewe unataka uende kupambana kwa biashara, utumie elimu yako au kilimo?naijua tu port louis ndo mji mkuu, lengo ni kwenda kufanya kazi ,nipe mwongozo mkuu wapi patanifaa.
nna ka elimu ka degree ka kwenda kutafutia kaz.
nimesoma IT mkuu.lingusenguse ni wapi uko mkuu ππUsitishike mkuu ,wewe nenda kihalali na ingilia SA mlangoni sio dirishani au kuruka ukuta, ukiwa na permit yako the rest ni history, je umesomea nini maana SA wana list yao ya critical skills na kupata PR ni less than 120days, otherwise njoo huku Lingusenguse mkuu tulime, sisi Wandendeule tuna ukarimu kwa wageni
IT ni nzuri hasa kama umefanya specializing, Lingusenguse ipo mkoa wa Ruvuma, Namtumbo hapa hapa Tz, beach yetu ni mto ruvuma karibu mno uje uangalie fursanimesoma IT mkuu.lingusenguse ni wapi uko mkuu ππ