Nataka kwenda Mauritius kutafuta maisha

Nataka kwenda Mauritius kutafuta maisha

Edsger wybe Dijkstra

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2019
Posts
244
Reaction score
491
Habari zenu wanajukwaa,nna mpango wa kwenda Mauritius kusaka life, naomba wenyeji wa huko mnipe habari mbali mbali zinazohusiana na nchi hiyo hasa katika masuala ya uchumi- ajira na biashara na mambo mengineyo.

hii bongo ni ngum sana ata uwe na elimu gan bdo shida tu.

karibuni wenyeji
 
Endelea kufikiria na TZ mkoa gani ukienda nati zinalegea.Fikiria Morogoro na Mbeya/Iringa kwa Kilimo na Arusha au Mwanza kwa kununua na kuuza Mifugo Dar nk.
 
Wakati unapewa mawazo ya huko unapotaka kwenda, tafuta habari za mikoa unayopenda hapa nchini, tumia ndg, jamaa au rafiki au nenda mwenyewe kaangalie fulsa zilizopo.

Kitu cha ajabu ukienda mkoa tofauti na ulipozaliwa utakuta kuna fulsa ni kama inakusubiri wewe swali; waliopo kwa nini hawafanyi, jibu; hiyo fulsa inamsubiri mtu mwingine.

So usifikilie ajira tu, walio/wanaomaliza high education ni wengi na wengine wamekuzidi elimu wote wanataka ajira na si kujiajili.
 
SA ata mm niliwai pafikiria ila sasa ile xenophobia mixer operation dudula ilinitisha sana
Usitishike mkuu ,wewe nenda kihalali na ingilia SA mlangoni sio dirishani au kuruka ukuta, ukiwa na permit yako the rest ni history, je umesomea nini maana SA wana list yao ya critical skills na kupata PR ni less than 120days, otherwise njoo huku Lingusenguse mkuu tulime, sisi Wandendeule tuna ukarimu kwa wageni
 
naijua tu port louis ndo mji mkuu, lengo ni kwenda kufanya kazi ,nipe mwongozo mkuu wapi patanifaa.
nna ka elimu ka degree ka kwenda kutafutia kaz.
Port Louis ni mji uliochangamka, unategemea wewe unataka uende kupambana kwa biashara, utumie elimu yako au kilimo?
Kama ni kilimo nenda Quatre Bornes au Mahebourg huko kilimo kinawatoa sana
 
Usitishike mkuu ,wewe nenda kihalali na ingilia SA mlangoni sio dirishani au kuruka ukuta, ukiwa na permit yako the rest ni history, je umesomea nini maana SA wana list yao ya critical skills na kupata PR ni less than 120days, otherwise njoo huku Lingusenguse mkuu tulime, sisi Wandendeule tuna ukarimu kwa wageni
nimesoma IT mkuu.lingusenguse ni wapi uko mkuu 😁😁
 
mkuu unateka kwenda kufanya shughui gani? Biashara au Ajira?
 
Back
Top Bottom