Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
Wakuu nipeni ratiba safari ya Mtwara mimi natokea Zanzibar nataka kwenda Mtwara naishia Mtama ninachotaka kujua bus la Mtwara napandia wapi pia nauli ya bus bei gani?
Shukran mkuuMtama iko Lindi lakini. Magari ya mikoa ya kusini unapandia Mbagala au Temeke. View attachment 3583887
Wacheki Buti La Zungu kwa simu, watakupa ABC moja ya bus maarufu uko.