SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Wakuu, nimekuwa na wazo la kwenda Shinyanga kutafuta pisi moja ambayo nitatulia nayo tuanzishe familia.
Unaweza kuniuliza why Shinyanga? Kipindi kile Haji Manara alipomuibua Rushayna, baada ya kugombana naye nakumbuka alisema alimuibua huko Shinyanga. Rushayna ni pisi kwa kweli, naikubali sana. Nadhani watakuwepo wanawake wa kutosha wa dizaini yake kule.
Mnanishauri nini katika zoezi langu hili?
Nikienda huko nijichanganye wapi, mtoni wakati wameenda kuchota maji? Sokoni? Kanisani? Vyuoni? Au nikajitambulishe kwa mwenyekiti wa kijiji kuwa nimekuja kutafuta mke?
Pia nikienda sehemu ngeni kama hiyo inaweza kunichukua muda gani hadi nitakapokutana na mlengwa?
Ukiacha Shinyanga, ni mkoa gani mwingine unaweza kwenda ukapata mwanamke aliyetulia?