Nataka kwenda Shinyanga kutafuta mke

Nataka kwenda Shinyanga kutafuta mke

Wakuu, nimekuwa na wazo la kwenda Shinyanga kutafuta pisi moja ambayo nitatulia nayo tuanzishe familia.

Unaweza kuniuliza why Shinyanga? Kipindi kile Haji Manara alipomuibua Rushayna, baada ya kugombana naye nakumbuka alisema alimuibua huko Shinyanga. Rushayna ni pisi kwa kweli, naikubali sana. Nadhani watakuwepo wanawake wa kutosha wa dizaini yake kule.

Mnanishauri nini katika zoezi langu hili?

Nikienda huko nijichanganye wapi, mtoni wakati wameenda kuchota maji? Sokoni? Kanisani? Vyuoni? Au nikajitambulishe kwa mwenyekiti wa kijiji kuwa nimekuja kutafuta mke?

Pia nikienda sehemu ngeni kama hiyo inaweza kunichukua muda gani hadi nitakapokutana na mlengwa?

Ukiacha Shinyanga, ni mkoa gani mwingine unaweza kwenda ukapata mwanamke aliyetulia?
Nenda Tinde pale kuna Pisi kali sana mixer waarabu na msukuma.
 
Nenda Lushoto, Tanga.
 
kule hakika ww tafta hta wiki mbili hivi katulie , ila iwe rahisi zaidi ww kuwapata hakikisha unaenda hta kanisani , maana mabinti wa kisukuma ni ngumu sana kutoka nyumbani, na hta wakitoka ni ngumu kuongea na mtu mgeni mtaani, kule bint analindwa na mtaa mzima hvyo anaweza onekana anasimama na ww tu , taarifa zikafka nyumban akafuatwa huko aliko kwa stick, so ww tafta wenyeji ufikie hapo yy ndo atakuwa anakusaidia kukupa direction, nenda minadani utakutana nao, ila ujiandae mahali zao zimechangamka kuanzia milion tatu hv, na ukimuoa huyo ndo basi ushakabidhiwa, ni wasikivu sana na wanaweza kutengeneza familia na ni kweli ni wazuri na wanavutia sana
 
Wanalindwa ? [emoji23][emoji23] Labda sio bariad na Busega na meatu
 
Back
Top Bottom