Nataka kwenda Shinyanga kutafuta mke

Papa za baridi hazina joto
Papa zimesuguliwa na baiskel mpaka zimekosa ladha.
Pili msukuma hata kama kaolewa hajui kusema NO
Nafikiri wanaweza shika namba 1 kwa umalaya. huko shinyanga kuna madanguro mpaka vijijini watu wa ajabu Sana hao..
Jamii zinakaa na madanguro pamoja na haioni tabu nilikaa kule tabora na shinyanga nimestaajabu Sana hilo kabila
 
Ukikuta demu wa kisukuma mwenye miaka 18-23 hana mtoto. njoo nikupe mke wangu ule mzigo mbele yangu 🤣🤣🤣🤣 wengi ni singo maza
Wanazalishwa mapema sana wanaitwa sijui wasimbe
 
Unataka aliyetulia kama Rushaina siyo?

Nakushauri tafuta popote utakapokutana na anayekuridhisha uoe.

Kusema sijui Queen Masanja katokea wapi na wewe ndiyo uende huko ukidhania labda wapo wote wa hivyo utapotea.

Majina ya Mikoa ni ya kisiasa, lakini kiuhalisia raia walishachanganyika sana kwa kuingiliana, hawana mipaka ya kikabila na hawana mipaka ya kuingiliana kwa kuzaliana.

Hata huyo unayemshobokea wewe ewezakuwa alizaliwa Shinyanga na wazazi wahamiaji toka mkoa mwingine au wakawa mchanganyiko wa makabila mawili tofauti, yote hayo yanawezekana.
 
Wewe huwajui wanawake wa Shinyanga wewe

Wakuu hamtaki nipate Rushayna toleo jipya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…