Siku walio declare pandemic ndio siku princess alianza vita I wonder if Putin na mchina unleashed the virus ๐ฆ .Ghafla virus hamnaMiezi michache iliyopita, wachambuzi hawa walikuwa ni wabobezi katika sayansi ya utengenezaji wa chanjo ๐
View attachment 2132837
[emoji23][emoji23]watu mna maneno ile kinoma.eti "walinila kiboga ila kwa mbinde"Duh watu wengi hawafuatilii taarifa vyema Kharjiv imeshakwenda na warusi. ...waukraine wanasema warusi wanna advance lakini kwa taabu..
Nafikiri hii Ni sawa na kusema duh wananila kiboga lakini nawasumbua..
Nb Vita si lelemama.. warusi wanakufa ,waukren wanakufa na ndo wengi coz wengine so masoja
Mkuu ni simple tu;Nimetumwa na familia
Aisee!Hatua ya kwanzaโฆ.
View attachment 2131841
Aende kambi yoyote ya Jeshi iliyo karibu ,watamsaidia.Bahati nzuri Rais wa kule ametoa Tangazo! Amekaribisha watu kutoka nchi zote duniani wanaotaka kupigana kuisadia Ukrane! Kuhusu Utaratibu nenda Ubarozi wa Ukraine hapa Tanzania utakupa maelekezo jinsi ya kufanya.
Utoke uende wapi,Nikiwa kama mkazi wa sayari hii tuliyo rehemishwa na Mwenyezi Mungu tuikalie kwa haki, amani na usawa, nina laani uvamizi wa Russia [emoji635] nchini Ukraine [emoji1255].
Siishii tu kulaani na kukemea uvamizi huo, bali kwa hiari yangu na ridhaa ya familia yangu, tukiwa kama watetezi wa wanyonge, wanaoonewa, familia yangu imenituma niende mstari wa mbele wa mapambano, nikashike bunduki kumuondoa Mrusi ndani ya mipaka ya ardhi ya Ukraine [emoji1255] aliyoiingia kimabavu.
Ndugu wana JamiiForums, naomba mine muongozo wa namna gani nitaweza kuyafikia malengo ya familia yangu ya kuwa askari wa hilarious wa Ukraine [emoji1255].
Natanguliza shukrani za dhati.
Naenda kusaidia wanyongeUtoke uende wapi,
This is your destiny,
Utabaki hapa hapa[emoji1787][emoji1787]
Hahah ...sawa mkuuNaenda kusaidia wanyonge
Dahhh,nashukuru kwa upendo wenu,Ila sitakuwa na amani kama nitapata nafasi halafu nisiende,kutokana na skills ndogo niliyonayo hakika nitarudi salama. by the way nasikia askari wa?Ukraine?1000 na zaidi hatunao.Kwa sababu tunakupenda, kwenye vita bwana hakuna huruma wala hakuna macho, kwenye vita si rafiki sana kwa Mwanamke , usiende please.
Je, ww mjomba bado unataka kwenda? Hiyo 1000 ni reported /counted cases. Unreported cases huenda ni nyingi zaidi. Vita ni Vita aisee haina macho kwamba eti "We are students..... we are not soldiers...." Hakuna kitu.Dahhh,nashukuru kwa upendo wenu,Ila sitakuwa na amani kama nitapata nafasi halafu nisiende,kutokana na skills ndogo niliyonayo hakika nitarudi salama. by the way nasikia askari wa?Ukraine?1000 na zaidi hatunao.
Sasa nyie wa kaka wa Tanzania tukivamiwa itakuaje jamani?mbona mna mioyo ya uoga hivi? vitani unavyoenda matokeo ni mawili.kufa ama kupona. . Ila ukiwa na spirit ya mapambano unaaamini utashinda na utarudi salama.. .. Hebu twendeni jamani Tanzania ni vijukuu vya Nyerere mkombozi๐๐๐Je, ww mjomba bado unataka kwenda? Hiyo 1000 ni reported /counted cases. Unreported cases huenda ni nyingi zaidi. Vita ni Vita aisee haina macho kwamba eti "We are students..... we are not soldiers...." Hakuna kitu.
Whahahahahhaa jamani nimechekaaaHatua ya kwanzaโฆ.
View attachment 2131841