talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
Uchungaji ni rahisi sana aseee ... Nimesikia maneno ya faraja tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamechoka tu...waangalie vyema..hatuchekani🤣Wamechokaje hebu niambie maana Mimi nawaona kawaida
Kumbe Wewe umechoka sana?? 😆😆😆😆
Nenda kasali si kuchora watu kanisani!..Mzuka Wanajamvi!
Kanisa la Free Church liko wapi Dar na mtaa gani? Nataka kwenda kusali hapo leo. Ratiba ya ibada ikoje?
Msaada kwa yotote anayejua.
Kweli tumetofautiana...faraja ?🤣Uchungaji ni rahisi sana aseee ... Nimesikia maneno ya faraja tu.
Pole kwa kuchoka mwayaWamechoka tu...waangalie vyema..hatuchekani🤣
AmeenPole kwa kuchoka mwaya
Na Mungu akutie nguvu
Emmanuel Mgaya aka MasanjaMkandamizaji
Leo katupostia ujumbe kwa Instagram yake #MasanjaMkandamizaj
View attachment 2381256
Free church ni Karibu na ubalozi wa ufaransa
Maisha yamewapiga sasa wataweza miliki chawa?Aaaaaaaah we Mzee so siku hizi mkija hamtaki chawa wa kuzurura nao mjini😊😊😊😊😊
Huyu mzee ana hela za box acha kumsemeaMaisha yamewapiga sasa wataweza miliki chawa?
Nasikia lipo karibu na ubalozi wa Ufaransa, ibada walitangaza inaanza saa 4 asb.Mzuka Wanajamvi!
Kanisa la Feel Free Church liko wapi Dar na mtaa gani? Nataka kwenda kusali hapo leo. Ratiba ya ibada ikoje?
Msaada kwa yotote anayejua.
Hapa wanaona wapo ibadaniEmmanuel Mgaya aka MasanjaMkandamizaji
Leo katupostia ujumbe kwa Instagram yake #MasanjaMkandamizaj
View attachment 2381256
Ndo nilichosemea na mimi..kama wehu fulaniHapa wanaona wapo ibadani
Aisee...so sad
Kamwe giza halijawahi kufukuza giza lenzake kwenye himaya yake tangu dunia iumbwe.Hivi masanja huwa anatoa watu mapepo
Ili kazi iendelee eti[emoji8][emoji8]Tena kuna nafasi ya ukatibu ipo wazi unaweza kubahatika...