Nataka leo kwenda kusali free church

Nataka leo kwenda kusali free church

Huyu mzee ana hela za box acha kumsemea
Thubutu! Hana hata mia alizoea kuishi kwa kupiga mazungu mabonge, yale yaliokosa wame kutokana na unene uliopitiliza basi ye akawa anayagonga yanampa pesa
 
Ukifika waulize kama Kuna nafasi ya mtunza hazina. Ni mwaminifu hasa maswala ya Mungu.
 
Mzuka Wanajamvi!

Kanisa la Feel Free Church liko wapi Dar na mtaa gani? Nataka kwenda kusali hapo leo. Ratiba ya ibada ikoje?

Msaada kwa yotote anayejua.
Angalia na ww usije uka fall in love kwa king'asti cha mselaa
 
Kituo kinaitwa Dar free market au leaders


Ukishuka piga mguu mwendo wa dak 2/3
 
Mzuka Wanajamvi!

Kanisa la Feel Free Church liko wapi Dar na mtaa gani? Nataka kwenda kusali hapo leo. Ratiba ya ibada ikoje?

Msaada kwa yotote anayejua.
Unataka kwenda huko kusali umechanganikiwa ama umeshindwa kuishi duniani?
 
Back
Top Bottom