Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Thubutu! Hana hata mia alizoea kuishi kwa kupiga mazungu mabonge, yale yaliokosa wame kutokana na unene uliopitiliza basi ye akawa anayagonga yanampa pesaHuyu mzee ana hela za box acha kumsemea
Katibu kaacha nafasi mbili.Tena kuna nafasi ya ukatibu ipo wazi unaweza kubahatika...
Angalia na ww usije uka fall in love kwa king'asti cha mselaaMzuka Wanajamvi!
Kanisa la Feel Free Church liko wapi Dar na mtaa gani? Nataka kwenda kusali hapo leo. Ratiba ya ibada ikoje?
Msaada kwa yotote anayejua.
We mbusiiiiNiko town kitambo tuu
Unataka kwenda huko kusali umechanganikiwa ama umeshindwa kuishi duniani?Mzuka Wanajamvi!
Kanisa la Feel Free Church liko wapi Dar na mtaa gani? Nataka kwenda kusali hapo leo. Ratiba ya ibada ikoje?
Msaada kwa yotote anayejua.