Nataka meno yangu yang'ae, msaada

Nataka meno yangu yang'ae, msaada

Piga mswaki kwa kuumia mzizi wa mti unaoitwa "mdawa" Unatakiwa kutumia mzizi fresh ambao haujakauka. Kwa hiyo itabidi ama ulime kishamba cha miti hiyo nyuma ya nyumba yako au ung'oe mzizi mingi uiweke kweye friji kusudi uwe unatumia moja kila siku.
 
kinachosababisha meno kuwa manjano
1.kuzidi kwa floride ktk maji
2. floride iliyopo katika dawa za meno
3. ukipata ambazo hazina floride lazima zikusaidie. kwa dentisit sikushaur coz wanagrand jino then wanalipiga rangi kuna chemical ya aina flan. lkn nasikia baada ya mda unapata madhara ya meno. tumia aloebright toothgel ndio niliotumia mm. haina chemicala bali ina madini yanayotokana na asali ya nyuki wadogo na mmea aina bardensis miller . nilitumia 3 @ 13000/= na nimepona na matatizo yote ya kinywa. kama utahitaji cheki na uyu mdau. 0713297066/0765377506 nilimsave dawa ya meno.

Huyu Mdau ulioweka namba yake nasikia humu jf anatumia Username ya Mjasiriamali1 ! Eti ni kweli?
 
Sie tunauita mdaa,huo mzizi ni mzuri sana,mdau angekua karibu ningempatia manake ninao na umeyafanya meno yangu meupe kwa kweli,
Piga mswaki kwa kuumia mzizi wa mti unaoitwa "mdawa" Unatakiwa kutumia mzizi fresh ambao haujakauka. Kwa hiyo itabidi ama ulime kishamba cha miti hiyo nyuma ya nyumba yako au ung'oe mzizi mingi uiweke kweye friji kusudi uwe unatumia moja kila siku.
 
njia ya kitaalamu Ni kumeona daktari wa meno. Ila kuna njia mbadala na nafuu.. Tukua kijiko kimoja cha bicarbonate au baking soda (ile wamayotumia kutengenezea maandazi) inauzwa 500 kama sijakosea kwa kipact kimoja. Changanya kijiko cha baking powder na ndimu au limao na ukoroge mpka iwe nzito kama dawa ya meno. Baada ya hapo tumia mswali mpya anza kusugua meno kwa iyo solution ulioitengeneza.

kwa majibu sahihi, tumia njia hii mara moja kwa week. Ukifanikiwa lets majibu hapa. Mimi ni mnufaikaji ya hii njia

natumia kwa kipindi gani mpaka nipate matokeo je niendelee kutumia dawa ya mswaki kama kawaida
 
Ndugu
Muhimu utambue Kuwa meno yana rangi mbalimbali(shade) Sasa kama una hakika unapiga mswaki kwa njia sahihi na dawa sahihi then kifuatacho ni uamuzi wa kujichubua kama wafanyavyo baadhi ya Dada zetu kwa sura zao.
Kuchagua njia kujichubua pia ni uamuzi mwingine ambapo ukipatwa na madhara mwishowe ni hospitalin

Ushauri
Nenda kwa wataalam wa meno (dentists) ujiridhishe kwanza aina ya rangi yako ya meno imetokana na nini zen ndo uchague njia ya kubadilsha kama bado msisitizo wako ni yawe meupe.
 
Ulishamaliza kutumia iyo solution nilioandika hapo juu.. Unasuuza mdomo na kupiga mswaki kwa kutumiia dawa ya meno yakawaida. Tumia mchanganyiko huu mpaka pale utakapoona umeridhika na weupe wa meno yako.
 
Sie tunauita mdaa,huo mzizi ni mzuri sana,mdau angekua karibu ningempatia manake ninao na umeyafanya meno yangu meupe kwa kweli,
kama upo dar nenda k/koo kwenye yale maduka ya dawa za asili utapata huo mdaa ila ni vema km ni mwanaume utumie jion ili ukiamka ukute hyo rangi imetoka mdomoni
 
idiot unadanganya watu hujui hili jukwaa watu wengine waana apply hivi vitu positive,suwaini
 
Back
Top Bottom