Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
njia ya kiswahili , ndiyo njia km zipi?
Anamaanisha waganga wa kienyeji
Ndo njia ya kiswahili.
meno yangu ni ya njano napiga mswaki hata mara tatu but per day but bado. Naweza kufanyaje ili yang'ae au kuna njia gani za kiswaili nifanye
meno yangu ni ya njano napiga mswaki hata mara tatu but per day but bado. Naweza kufanyaje ili yang'ae au kuna njia gani za kiswaili nifanye
njia ya kitaalamu Ni kumeona daktari wa meno. Ila kuna njia mbadala na nafuu.. Tukua kijiko kimoja cha bicarbonate au baking soda (ile wamayotumia kutengenezea maandazi) inauzwa 500 kama sijakosea kwa kipact kimoja. Changanya kijiko cha baking powder na ndimu au limao na ukoroge mpka iwe nzito kama dawa ya meno. Baada ya hapo tumia mswali mpya anza kusugua meno kwa iyo solution ulioitengeneza.
kwa majibu sahihi, tumia njia hii mara moja kwa week. Ukifanikiwa lets majibu hapa. Mimi ni mnufaikaji ya hii njia
meno yangu ni ya njano napiga mswaki hata mara tatu but per day but bado. Naweza kufanyaje ili yang'ae au kuna njia gani za kiswaili nifanye