Nataka Mkopo wa haraka wa 2ml

Nataka Mkopo wa haraka wa 2ml

Nenda kijitonyama pale Tujijenge mwone mr. Muriid masaa 36 mkopo huoooo
 
Riba kiasi gani
*I'm Silas, sales consultant of platinum credit ldt, tunatoa mikopo kwa dhamana ya kadi yako ya gari.~*

/>MASHARTI KWA MFANYAKAZI
>*hati ya mihahara miezi mitatu
>*kopi ya kitambulisho
.*mkataba wa ajira (nakala)
>*picha moja ndogo
>*taharifa ya kibenk miezi sita
>*kadi ya gari na bima yake (bima kubwa)

>KWA MFANYABIASHARA />*Leseni na hati ya biashara
>*TIN NO
>*Kopi ya kitambulisho/>*taharifa ya kibenk miezi 6
>*picha moja ndogo
>*kadi ya gari na bima yake kubwa<
>*kitabu cha hundi.

>Note;ukikamisha mahitaji hayo utafika ofisini kwetu karibia na moroco kwaajili ya kupata mkopo wako mawasiliano 0714 667579 na 0769166524.
 
Riba ni 7.5 kwa mwezi, na mikopo yetu ni kwamiezi sita
Fafanua kidogo. Je mfano nikichukua milioni moja au yeyote ile, narudisha kiasi gani. Tuchukulie mfano wa milioni moja
 
/>7.5% ni kwa mwezi. Mf: umekopa 1m riba ya mwezi itakuwa 75,000. Kwa miezi sita itakuwa 450,000. So jumla ya mkopo wako utakuwa ni m1,450,000. Kwa miezi sita. Marejesho yako kwa mwez itakuwa 241,667. (ambayo inapatikana kwa kiasi cha mkopo jumrisha riba ya miezi 6 thn gawanya kwa mda wa mkopo wako ambao ni miezi sita.
 
Aisee nyie jamaa ni hatare sana, yannunarudisha nusu ya mkopo wako ndani miez 6? Hyo yote faida tu kwenu
 
Kaka aliyekuwa nacho huongezewa.Dah hela nyingi sana.
 
Aisee nyie jamaa ni hatare sana, yannunarudisha nusu ya mkopo wako ndani miez 6? Hyo yote faida tu kwenu
Mikopo yetu ni very simple kupata, gharama nyingi zpo juu yetu. Hakuna cha mdhamini, gari unabaki unaitumia kama ni ya biashara utaendelea kuzalisha pia. Maisha ni uchaguzi tu
 
/>7.5% ni kwa mwezi. Mf: umekopa 1m riba ya mwezi itakuwa 75,000. Kwa miezi sita itakuwa 450,000. So jumla ya mkopo wako utakuwa ni m1,450,000. Kwa miezi sita. Marejesho yako kwa mwez itakuwa 241,667. (ambayo inapatikana kwa kiasi cha mkopo jumrisha riba ya miezi 6 thn gawanya kwa mda wa mkopo wako ambao ni miezi sita.
We jamaa sinimekwambia kule kwenye uzi wako kuwa huo mnaoufanya ni upuuzi lakini naona bado unasukuma kete tu yaani nikope 1 mil halafu nirudishe 1400,000 kwa muda wa miezi sita!
Je kama nina uwezo wa kuwarudishia ndani ya mwezi mmoja nitawalipa 1,075,000 au mtataka yote 1,400,000 hahahaha dah wizi mtupu.
 
Mikopo yetu ni very simple kupata, gharama nyingi zpo juu yetu. Hakuna cha mdhamini, gari unabaki unaitumia kama ni ya biashara utaendelea kuzalisha pia. Maisha ni uchaguzi tu
Wewe jamaa shukuru sana mimi sio mod laiti ningekuwa mod ningekupiga parmanent ban usikanyage humu tena.
 
Back
Top Bottom