T 1984 CON
Member
- Apr 15, 2017
- 49
- 81
- Thread starter
- #21
Sawa mkuu ntaku PMKama utalipa kwa haraka na kwa interest nzuri tuwasiliane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu ntaku PMKama utalipa kwa haraka na kwa interest nzuri tuwasiliane
Poa mkuu unaweza kuni pm no yake kma unayo ngeshukuru sana.Nenda kijitonyama pale Tujijenge mwone mr. Muriid masaa 36 mkopo huoooo
Mkuu hujasoma maelezo kabisa inaonekana umesoma title tu!Una dhamana yeyote?
Riba kiasi ganiPoa mkuu unaweza kuni pm no yake kma unayo ngeshukuru sana.
Sasa si ungepita tu kimya kimya.Mimi sina hela mkuu
*I'm Silas, sales consultant of platinum credit ldt, tunatoa mikopo kwa dhamana ya kadi yako ya gari.~*Riba kiasi gani
Riba ni 7.5 kwa mwezi, na mikopo yetu ni kwamiezi sitaRiba kiasi gani
Fafanua kidogo. Je mfano nikichukua milioni moja au yeyote ile, narudisha kiasi gani. Tuchukulie mfano wa milioni mojaRiba ni 7.5 kwa mwezi, na mikopo yetu ni kwamiezi sita
/>7.5% ni kwa mwezi. Mf: umekopa 1m riba ya mwezi itakuwa 75,000. Kwa miezi sita itakuwa 450,000. So jumla ya mkopo wako utakuwa ni m1,450,000. Kwa miezi sita. Marejesho yako kwa mwez itakuwa 241,667. (ambayo inapatikana kwa kiasi cha mkopo jumrisha riba ya miezi 6 thn gawanya kwa mda wa mkopo wako ambao ni miezi sita.Fafanua kidogo. Je mfano nikichukua milioni moja au yeyote ile, narudisha kiasi gani. Tuchukulie mfano wa milioni moja
Aisee nyie jamaa ni hatare sana, yannunarudisha nusu ya mkopo wako ndani miez 6? Hyo yote faida tu kwenu/>7.5% ni kwa mwezi. Mf: umekopa 1m riba ya mwezi itakuwa 75,000. Kwa miezi sita itakuwa 450,000. So jumla ya mkopo wako utakuwa ni m1,450,000. Kwa miezi sita. Marejesho yako kwa mwez itakuwa 241,667. (ambayo inapatikana kwa kiasi cha mkopo jumrisha riba ya miezi 6 thn gawanya kwa mda wa mkopo wako ambao ni miezi sita.
Kaka aliyekuwa nacho huongezewa.Dah hela nyingi sana.Aisee nyie jamaa ni hatare sana, yannunarudisha nusu ya mkopo wako ndani miez 6? Hyo yote faida tu kwenu
Mikopo yetu ni very simple kupata, gharama nyingi zpo juu yetu. Hakuna cha mdhamini, gari unabaki unaitumia kama ni ya biashara utaendelea kuzalisha pia. Maisha ni uchaguzi tuAisee nyie jamaa ni hatare sana, yannunarudisha nusu ya mkopo wako ndani miez 6? Hyo yote faida tu kwenu
We jamaa sinimekwambia kule kwenye uzi wako kuwa huo mnaoufanya ni upuuzi lakini naona bado unasukuma kete tu yaani nikope 1 mil halafu nirudishe 1400,000 kwa muda wa miezi sita!/>7.5% ni kwa mwezi. Mf: umekopa 1m riba ya mwezi itakuwa 75,000. Kwa miezi sita itakuwa 450,000. So jumla ya mkopo wako utakuwa ni m1,450,000. Kwa miezi sita. Marejesho yako kwa mwez itakuwa 241,667. (ambayo inapatikana kwa kiasi cha mkopo jumrisha riba ya miezi 6 thn gawanya kwa mda wa mkopo wako ambao ni miezi sita.
Wewe jamaa shukuru sana mimi sio mod laiti ningekuwa mod ningekupiga parmanent ban usikanyage humu tena.Mikopo yetu ni very simple kupata, gharama nyingi zpo juu yetu. Hakuna cha mdhamini, gari unabaki unaitumia kama ni ya biashara utaendelea kuzalisha pia. Maisha ni uchaguzi tu