Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa, sijui yupo?

Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa, sijui yupo?

Ni swali nimeulizwa na mtoto wa mdofowangu wa mwisho kuzaliwa

Yeye ni wa mwisho wa kike ana miaka 27, akaniuliza

Aunty Penny, "Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa dyu dyu yake, (uume wake) sijui yupo? Sijui nitampata wapi?"

Nikamwambia Aunty muombe Mungu sana, funga kwa wiki mara 4, na kutoa sadaka kwa wajane na yatima

Mungu atakusikia na kukupa haja ya moyo wako"

Je wanaume wa namna hio bado wapo au aangalie nchi zingine?

Hao ambao hawapendi kunyonywa
Wapo lakini baadae wanaweza wakaanza kunywa, kumbe binadamu hukengeuka
 
Nimepata mwalimu wa unyago hapa!

Mkuu embu wafundishe hawa watu, waoge kabla ya kuanza na baada ya kumaliza kufanya yao!

Ni aibu kwa mpenzi wako kumnukisha harufu za ajabu ajabu, inakata morali wa malovee, ndiyo chanzo cha mapenzi kutetereka na kufa bila kutolewa sababu za wazi.
Aisee
 
Back
Top Bottom