Nataka Mungu anipe Mume ambae hapendi kunyonywa, sijui yupo?

Mmesahau kua haya mmbo mnafanya kuiga wageni wachofanya sasa unaomba kabla ya hapo hatukua tukijua kitu chochote ila kina nyie sasa πŸ˜†πŸ˜†
ongea na mjomba wako atakujuza kama ya wageni au ya kale
 
Mungu amekuwa wa mchezo mchezo, wenzenu wanaomba wapate mme ilimradi anapumua we unataka asiyenyonya dyu! Dyu!.
Endelea kuomba ukifisha miaka 30 hapo nyumbani utuletee mrejesho kama bado unamuhitaji wa namna hiyo.
kila mtu na matakwa yake muacheni mtoto wa watu
 
miaka nenda rudi hutak kubadilika wewe ni kupost upymbavu tu.

unatakiw ubadilike kitambo sana hua naona takataka zako humu jf.
Mkuu wapo watu ambao kila kukicha katika maisha yake yeye anawaza pale kati tu. You can tell so much about people here in JF by reading their posts.
 
Mkuu wapo watu ambao kila kukicha katika maisha yake yeye anawaza pale kati tu. You can tell so much about people here in JF by reading their posts.
Ivyoo? Labda wengine wanataka msaada na sio wao
Why judging?
 
U Umenipata, karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…