Nataka mwalimu wa mazoezi

Mama Sabrina anatafuta Mwalimu,
Hilo ndilo la muhimu,
Anataka awe mkarimu,
Waishie kulalana gym!
Acha kusema sana, MPE mama anachotaka
Anataka wa sex pack na uhandsome sana

Na kamba akiruka ruka pushup inama inuka
Mswambwanda jaza mizuka
Mwl.taaban taabani mpaka boxer kuchanika

Kunja ndita
 
Lakini wakaka wanaoramba ramba midomo na kujiremba huwa wana dalili za unaniliu.
Lord have Mercy!

BTW kumbe na wewe ni msukuma???... ukija huku Tanzania usiseme "kurambaramba" sema "kulambalamba"

Unajua lugha na sauti ni sehemu kubwa ya mahabat???

Imagine mzungu wakati pump inaingia aseme "Oh ges" badala ya "Oh Yes" huoni kama mtumiaji atakuwa kapunguziwa acceleration kwenye velocity ya speed ya sub machine gun?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…