Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Hiyo battle iko wapi?chief Daby nafkiri Mama Sab na wenzake humu tuwaone kulee kwenye uzi wetu wa freestyle battle itapendeza zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo battle iko wapi?chief Daby nafkiri Mama Sab na wenzake humu tuwaone kulee kwenye uzi wetu wa freestyle battle itapendeza zaidi.
cheki kwenye threads za Daby chiefHiyo battle iko wapi?
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]cheki kwenye threads za Daby chief
Watu wazima tumeshaelewa unachotafuta hapa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumiss Miller[emoji23][emoji28][emoji23] una dhambi wewee
Hahahahahachief Daby nafkiri Mama Sab na wenzake humu tuwaone kulee kwenye uzi wetu wa freestyle battle itapendeza zaidi.
Nikija pm ikawa tofauti nitakutukana balaaa maana sijaribiwiiMimi na fit kabisa hiyo nafasi mama Sabrina.Ni handsome zaidi ya huyo jamaa ako n nina body la maana zaidi ya huyo.Ni mcheshi na mkarimu nadhani hutajuta Nikiwa trainer wako pia utapenda mazoezi zaidi.
Nipo tayari kuchukuwa jukumu la kuku train.njoo pm
Una Vina bibieMaisha ndio haya haya sa ntaenda wapi,usishangae natamba afu we hauna chambi ,mi mwembamba ila napiga shoo za kitambi
Zaidi ya LuluHuyu mama Sabu inaonekana enzi za ujana alikua kama Lulu.
Umetisha. Ushampata huyo MwlZaidi ya Lulu
Unamuitaje wa jinsia yako mpenziNilikua busy sana ofisini mpenzi.
[emoji23][emoji23][emoji23] naona unatufukuzia ndegeBado haujampata jaman ila humu jf sidhani kama atapatikana humu wamejaa na masuruali yao ya vitambaa
Maana wameanza hadi kufanana mwandikoMtu na kaka akee wanaishi wote mwanza
Njoo geto nikufundishe.Zaidi ya Lulu
Kumbe nawe U hatari,Mama Sabrina anatafuta Mwalimu,
Hilo ndilo la muhimu,
Anataka awe mkarimu,
Waishie kulalana gym!
Sitaki na unikomeeeeeNjoo geto nikufundishe.
Kuna mazoezi ya kuokota shilingi sakafuni.
Yatakunyoosha kiuno