Nataka mwanaume anayefanya kazi

Nataka mwanaume anayefanya kazi

Jaman nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mm mweupe awe Mkristo maana mm pia mkristo napenda sana kusali.
We jinsia gani? Umesema tu unataka mwanaume ila hujasema jinsia gani na huyu mwanaume unataka ukamfanyie nini?
 
Jaman nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mm mweupe awe Mkristo maana mm pia mkristo napenda sana kusali.
Haya kila la heri....ila vigezo vikipungua usisahau kufungua uzi mwingine

20220903_211400.jpg
 
Back
Top Bottom