Nataka mwanaume anayefanya kazi

Nataka mwanaume anayefanya kazi

Unataka anayefanya serikalini tu? Sema kama unataka kupata bima ya NHIF!! Tuanze sasa kilmoter zimesoma sana kwanza
 
Nafanya kazi Serikalini👇😁😁😁
908765420.jpg
 
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia mkristo napenda sana kusali.
Mwalimu mimi hapa nina helaaaaaa na maisha mazuri tu. Mie nakula, nakunywa na kuvaa nitakavyo. Ni raha tu kwangu
 
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia mkristo napenda sana kusali.
kumbe ajira bora ni ya serikalini tu?....mimi nimeajiriwa serikalini ni nurse assistant wale tunaopiga deki wodini
 
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia mkristo napenda sana kusali.
Mie nafanya kazi ila sasa ni mwalimu na mie natafute mke kama wewe.. So inakuwaje mchumba 😊
 
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia mkristo napenda sana kusali.
Weka no ya simu watakuja wengi sana
 
Back
Top Bottom