Nataka mwanaume anayefanya kazi

Nataka mwanaume anayefanya kazi

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Angalia picha yangu, namba ya simu na salary slip inbox . Kisha comment
 
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia mkristo napenda sana kusali.
Mrefu
Mweusi.
Wenzako wanalia kila siku.
Endelea kutudharau sisi wafupi
 
Kwahiyo mimi ninayefanya kazi CRDB Bank hainihusu?
 
Nilikuwa serkalin awamu ile na sina kitambi nina sixpack, nimekutumia muamala ili tuchat. Kama hujaiona ni PM

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia mkristo napenda sana kusali.
Nione in box nikuunganishe na kaka yangu ila ni mkubwa kidogo miaka 37! ni Daktari paleee Manisapaa ya Temeke Hospital!
 
Back
Top Bottom