Nataka mwanaume anayefanya kazi

Nataka mwanaume anayefanya kazi

Atapigwa mtu kama ngoma, tena na jobless
 
Usijali dada umenipata kulingana na vigezo vyako! Mimi nmeajiriwa serikalini kama muokota mipira senior uwanja wa taifa. Mechi zote utakuwa unaingia bure Taifani.
 
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia mkristo napenda sana kusali.
IMG-20220905-WA0007.jpg
 
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia mkristo napenda sana kusali.
Hapo itabidi umuombe Mungu akupe kibali cha kutengeneza wako🤣🤣🤣
 
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia mkristo napenda sana kusali.
Upo mkoa gani mrembo?
 
1662633342773.png
...Demu anazingua kweli huyo...
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia mkristo napenda sana kusali.
 
Sasa utajuaje kama anafanya kazi serikalini au unataka akuoneshe check no...???
 
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia mkristo napenda sana kusali.
Chura ipo?
 
Back
Top Bottom