Nataka mwanaume anayefanya kazi

Nataka mwanaume anayefanya kazi

Mwanamke- Mke ni kitu Gani kikubwa ana kitoa kwa Mume wake zaidi ya Ngono



Mwenye namba ya huyu Pastor wa Kike anisaidie na kama unajua hata kwao niambieni huenda wadogo wake wakawa wanawake bora kwenye ndoa

"Nataka mwanaume mwenye magari. Nataka mwanaume mwenye viwanja. Shogangu, wewe una nini?"Tanzanian preacher Rose Shaboka challenges women during a sermon.
"Wengine vitu walivyonavyo ni wanja, lipstick na powder; anataka mwenzie mwenye magari, viwanja na nyumba. Kavitoa wapi huko ambako wewe huwezi kwenda kuvitafuta?"
"Ukimpata mwanaume ambaye ana mahusiano mazuri na Mungu, huyo ni benki ya upendo. A man who does not love God cannot love you. Magari na majumba ni muhimu lakini sio priority," the preacher added.
 
Kwa kifupi unataka uhakika yaani, hutaki sisi ma hustler wa private sector ambao kila siku tunatafuta kazi mpya. [emoji1787]
 
Jamani nipo single nina miaka 26 ninafanya kazi nataka mwanaume anaefanya kazi Serikalini asiwe mwalimu tu asiwe na kitambi mrefu af mweusi kwa sababu mimi mweupe awe Mkristo maana mimi pia mkristo napenda sana kusali.
Ndoto ya kila mwanamke below 30yrs
 
Hata sisi walimu wa International school of Tanganyika hututaki??
 
Back
Top Bottom