Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Mleta mada ni ke?Sawa Dada
Sio kweli, mwanaume sahihi ni mwanaume mwenye malengo ya kudumu kimahusiano na huyo Mwanamke, unaweza kuwa na pesa lakini kumbe lengo ni kipusa tu, sasa kwa mwanamke anayehitaji mume wewe sio sahihi kwakeEwe kijana , ukiwa una mahusiano unayotaka yawe ndoa, mwanamke anakuzungusha kila siku , anakwmbia subiri na anawaambia marafiki zake anasubiria "mwanaume sahihi" basi zingatia neno "sahihi" maana yake ni "pesa"
Huna hela kaa pembeni , Ndoto ya kila mwanamke ni kuishi maisha ya kwenye tamdhilia za kikorea, Cinderela and four nights, La Mujar lemivida,
Malengo ni hela , short of which ni hekaya za alfu ulela lela.Sio kweli, mwanaume sahihi ni mwanaume mwenye malengo ya kudumu kimahusiano na huyo Mwanamke, unaweza kuwa na pesa lakini kumbe lengo ni kipusa tu, sasa kwa mwanamke anayehitaji mume wewe sio sahihi kwake
Sio kweli mkuu, malengo kwa wanawake sio helaMalengo ni hela , short of which ni hekaya za alfu ulela lela.
acha kujifariji broo, tafuta pesaSio kweli, mwanaume sahihi ni mwanaume mwenye malengo ya kudumu kimahusiano na huyo Mwanamke, unaweza kuwa na pesa lakini kumbe lengo ni kipusa tu, sasa kwa mwanamke anayehitaji mume wewe sio sahihi kwake
Mzee mbona unawabishia watu ukweli wao kwaji we mwanamke?Sio kweli mkuu, malengo kwa wanawake sio hela
Kwani mtoa mada ni Mwanamke, sikujuaMzee mbona unawabishia watu ukweli wao kwaji we mwanamke?
Tafuta pesa, utachapiwa na pesa zako mkuu, nakushauri tu tafuta pesa kwa maendeleo na mipango yako, si kwa sababu ya mwanamkeacha kujifariji broo, tafuta pesa
hayn maisha unayoyazungumza ni ya miaka ya nyuma sana...
hv vi genez ambavyo vikiwa vinagongwa vinatoa sauti kama vinauliwa, vipo after money!
hatujui aliyeficha hela lakini jitahidi sana kutafuta pesa!
Kuchapiwa ni swala lingineTafuta pesa, utachapiwa na pesa zako mkuu, nakushauri tu tafuta pesa kwa maendeleo na mipango yako, si kwa sababu ya mwanamke
Isiwe tu kwa ajili ya kumridhisha mwanamke Mkuu, pesa tunatafutaKuchapiwa ni swala lingine
Tafuta pesa mkuu
Huwa nikiwatazama wanangu, sijui wa kiume wataoa nani na sijui wa kike wataolewa na nani..elimu wamepga hatuaa na umri tayar.
Mungu saidia
tafadhali sana mzee wa kusikitika Mbaga Jr na mzee wa kono la nyani secretarybird wasije ona huu uzi.
Inasikitisha sana mkuu 😂Kuchapiwa ni swala lingine
Tafuta pesa mkuu
Huwa nikiwatazama wanangu, sijui wa kiume wataoa nani na sijui wa kike wataolewa na nani..elimu wamepga hatuaa na umri tayar.
Mungu saidia
tafadhali sana mzee wa kusikitika Mbaga Jr na mzee wa kono la nyani secretarybird wasije ona huu uzi.
amenSawa utapata mume sahihi
umeongea kwa uchungu san , wanaume mnapitia mengi sana .Kuchapiwa ni swala lingine
Tafuta pesa mkuu
Huwa nikiwatazama wanangu, sijui wa kiume wataoa nani na sijui wa kike wataolewa na nani..elimu wamepga hatuaa na umri tayar.
Mungu saidia
tafadhali sana mzee wa kusikitika Mbaga Jr na mzee wa kono la nyani secretarybird wasije ona huu uzi.
Out of topicIsiwe tu kwa ajili ya kumridhisha mwanamke Mkuu, pesa tunatafuta
Nikikumbuka sakata la mtangazaji wa habari wa ITV la mwaka 2013 some body ufoo saro yule mwamba alizutafuta pesa kwa ajili ya Mwanamke akaishia kujipiga bastola pamoja na mama wa binti