Nataka na nina Nia ya Kuwa Tajiri Nipeni Mawaidha yenu!

Nataka na nina Nia ya Kuwa Tajiri Nipeni Mawaidha yenu!

Kheri iwe pamoja nanyi ndugu zangu!
Mimi ni kijana Mwenye umri 20s nina ndoto na nia ya kuwa Tajiri(Financialy), Nahitaji kuwa Tajiri yaani kuwa na Pesa ndio Furaha yangu....sihitaji kingine zaidi ya Pesa....Nahitaji kuwa Tajiri.

katika shughuli zangu ninazozifanya mara kwa mara naambulia pesa ya kawaida ya kubadilishia mboga...Hali ambayo siridhiki nayo.

Yaani nataka kuwa Tajiri Haswa ile ukifika mtaani waseme Flani naye ni Tajiri wa Huu Mtaa.

Nimewaza sana nikafikia uamuzi wa kutumia Nguvu za Giza maana kila niliyejaribu kuzungumza naye amejaribu kunisihi kwamba ukitaka kuwa tajiri lazima shetani awe na ukaribu na wewe.

Nimejaribu kufuatilia story za Matajiri wengi nimeona wao pia wameegemea sana upande wa Nguvu za Giza sina uhakika kama wapo au hawapo ambao wanategemea nguvu za Mungu.

Sasa ndugu ambao kidogo Mna idea ziwe hizo za Nguvu za Giza au kama kuna Njia Nyingine tofauti nipeni Mawaidha yenu ili Nifanikishe lengo langu.

Asanteni.
Ni jambo zuri kuwaza utajiri ukiwa bado na umri mdogo, ila ni jambo baya kutamani ushirikina ukusaidie kukupa utajiri! Badala yake waza fusa zilizopo kuwa jasili wa kuweka mawazo au fusa katika vitendo, usiwe mwoga wa kuanza, waone wataalam na wazoefu wakushauri. Kwenye ushirikina unatafuta shida, usijaribu labda utuambie wewe ni mchawi tu.
 
Ungesoma tu bila kuandika pia ni jambo la busara sana. Wanasema ukitaka kuona au kuelewa uwezo wa kufikir wa mtu basi mpe nafasi ya kuongea au mpe karatasi na kalamu aandike. Kwani mtu akiandika au kuongea anaonesha uelewa au ujinga wako hadharani.
 
We jamaa una uwezo mkubwa San wa kuwaza tena San,ifanyie kazi akil ako zaid trust mi
 
Dah...
Stay away from girls..
Usinywe pombe
Utakuwa tajiri....[emoji87] [emoji87]
 
navyojua ukitaka kupata pesa nyingi hakikisha unatafuta pato la pili tofauti na pato unalopata kila siku ukitegemea pato unalolipata la kila siku utashindwa kuendesha maisha yako utashindwa kuwa na asset pesa haikufanyi kuwa tajiri bali asset ndo itakufanya kuwa tajiri
 
Fanya kile utakachoona ww umependezwa nacho mana hata sina hakika dhambi ya kuua na kusema uongo kama zinaadhabu tofaut so ww jiachie mengine yatajulikana mbele kwa mbele
 
Fanya kile utakachoona ww umependezwa nacho mana hata sina hakika dhambi ya kuua na kusema uongo kama zinaadhabu tofaut so ww jiachie mengine yatajulikana mbele kwa mbele
Aiseee
 
navyojua ukitaka kupata pesa nyingi hakikisha unatafuta pato la pili tofauti na pato unalopata kila siku ukitegemea pato unalolipata la kila siku utashindwa kuendesha maisha yako utashindwa kuwa na asset pesa haikufanyi kuwa tajiri bali asset ndo itakufanya kuwa tajiri
Noted
 
Kama una mama au baba wa kumuweka store?nitafute nkupeleka...tafuta hela ya mganga na pumba za kumlisha mzazi wako akiwa store...
Aisee si umwambie tu kuwa anawaua kuliko unavyomwambia hivyo eti store
 
Back
Top Bottom