Nataka na nina Nia ya Kuwa Tajiri Nipeni Mawaidha yenu!

The mason,
Nafikiri kwa umri uliofikia endelea kupambana ukifika miaka 25 nitakuunganisha na jumuiya ya siri na utapata mafanikio makubwa mno bila masharti ya kumwaga damu ya mtu.
Mkuu after 2.5 years nafikisha miaka 25 hio
 
Work hard tu bro.. Ndo siri ya mafanikio.. Utajiri sio game kwamba kuna mbinu zake ili uwin.. Hauna formula.. Just work hard until no work is left.. Ukiwa na tamaa sana ya pesa utafeli kirahisi kwenye malengo yako.. Kuwa na tamaa zaidi ya kufanya kazi kwa bidii.. Kila tajiri ana work hard..

SOMA SANA, SALI SANA, FANYA KAZI SANA
Good idea Bado KUSALI SANA
 
Mmh kama kufanya Kazi sana ndo kuwa tajiri basi wakulima wengi wangekuwa matajiri ila si ndo babu na bibi mliowakimbia Shamba huko!

Utajiri ni siri ya alionao!
Mkuu hapa umemalizaa[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Kheri iwe pamoja nanyi ndugu zangu!
Mimi ni kijana Mwenye umri 20s nina ndoto na nia ya kuwa Tajiri(Financialy), Nahitaji kuwa Tajiri yaani kuwa na Pesa ndio Furaha yangu....sihitaji kingine zaidi ya Pesa....Nahitaji kuwa Tajiri.

katika shughuli zangu ninazozifanya mara kwa mara naambulia pesa ya kawaida ya kubadilishia mboga...Hali ambayo siridhiki nayo.

Yaani nataka kuwa Tajiri Haswa ile ukifika mtaani waseme Flani naye ni Tajiri wa Huu Mtaa.

Nimewaza sana nikafikia uamuzi wa kutumia Nguvu za Giza maana kila niliyejaribu kuzungumza naye amejaribu kunisihi kwamba ukitaka kuwa tajiri lazima shetani awe na ukaribu na wewe.

Nimejaribu kufuatilia story za Matajiri wengi nimeona wao pia wameegemea sana upande wa Nguvu za Giza sina uhakika kama wapo au hawapo ambao wanategemea nguvu za Mungu.

Sasa ndugu ambao kidogo Mna idea ziwe hizo za Nguvu za Giza au kama kuna Njia Nyingine tofauti nipeni Mawaidha yenu ili Nifanikishe lengo langu.

Asanteni.
moja usikae ukaa amini nguvu za giza kwanza naona ni story na kupotosha jamii na hiii imetawala kwetu africa tu. na ukitaka kuwa tajiri penda kuwa mchunguzi na fata kitu kilicho moyoni. nikisema mchunguzi nina maana uwe mwepesi kujua fursa za pesa na usisaha FANYA PESA IKUTUMIKIE SO JIFUNZE KU INVEST
 
Bless boy
 
Mkuu hapa umemalizaa[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Thanks bro..
Mengi au bakheresa au mo dewj hawatakuambia siri hiyo kamwe maana siku wakifanya watakukosa mteja wao!
Kibarua wao
Au watatengeneza competitors

Utaishia kuambiwa theories zizotekelezeka!
 
Humu watu wanajifanya hawajui ushirikina
 
Kheri iwe pamoja nanyi ndugu zangu!
Mimi ni kijana Mwenye umri 20s nina ndoto na nia ya kuwa Tajiri(Financialy), Nahitaji kuwa Tajiri yaani kuwa na Pesa ndio Furaha yangu....sihitaji kingine zaidi ya Pesa....Nahitaji kuwa Tajiri.

katika shughuli zangu ninazozifanya mara kwa mara naambulia pesa ya kawaida ya kubadilishia mboga...Hali ambayo siridhiki nayo.

Yaani nataka kuwa Tajiri Haswa ile ukifika mtaani waseme Flani naye ni Tajiri wa Huu Mtaa.

Nimewaza sana nikafikia uamuzi wa kutumia Nguvu za Giza maana kila niliyejaribu kuzungumza naye amejaribu kunisihi kwamba ukitaka kuwa tajiri lazima shetani awe na ukaribu na wewe.

Nimejaribu kufuatilia story za Matajiri wengi nimeona wao pia wameegemea sana upande wa Nguvu za Giza sina uhakika kama wapo au hawapo ambao wanategemea nguvu za Mungu.

Sasa ndugu ambao kidogo Mna idea ziwe hizo za Nguvu za Giza au kama kuna Njia Nyingine tofauti nipeni Mawaidha yenu ili Nifanikishe lengo langu.

Asanteni.
Dah...simply...matumizi yako yasizidi mapato yako [emoji2960]
 
Ili uwe tajiri Fanya yafuatayo∆1.andaa mpango wa muda mfupi wa kuendeshea maisha yako ya kila siku. 2.andaa mpango wa muda mrefu wa muda mrefu wa kiuchumi ongeza elimu yako ya uzalishaji iwe ile iliyo rasmi au isiyorasimi.wekeza vitu vyenye faida kauanzia miaka mitano na kuendelea wekeza katika biashara kwakuanza kwa kidogo ilikuapata uzoefu wa biashara wekeza katika kilimo cha miti ya matunda kule kijijini kwenu.hayo ni baadhi tu ya mambo yatakayo kufanya uwe napesa.na akili ya kuambiwa changanya na za kwako.
Nimependa ushauri wako mkuu!
 
Hivi vitu havinaga formula sjui mambo ya nidhamu, bidii yote ni bullshit mkuu just be you Fanya kile unachopenda

Sikuwahi fikiria kweny life na mm sku moja nitanunua papuchi Thailand guess what I did
 
Yes mkuu..what https://jamii.app/JFUserGuide dd u do?
 
Back
Top Bottom