Mi naijua dini yako?Mfano
Ni jambo zuri kuwaza utajiri ukiwa bado na umri mdogo, ila ni jambo baya kutamani ushirikina ukusaidie kukupa utajiri! Badala yake waza fusa zilizopo kuwa jasili wa kuweka mawazo au fusa katika vitendo, usiwe mwoga wa kuanza, waone wataalam na wazoefu wakushauri. Kwenye ushirikina unatafuta shida, usijaribu labda utuambie wewe ni mchawi tu.Kheri iwe pamoja nanyi ndugu zangu!
Mimi ni kijana Mwenye umri 20s nina ndoto na nia ya kuwa Tajiri(Financialy), Nahitaji kuwa Tajiri yaani kuwa na Pesa ndio Furaha yangu....sihitaji kingine zaidi ya Pesa....Nahitaji kuwa Tajiri.
katika shughuli zangu ninazozifanya mara kwa mara naambulia pesa ya kawaida ya kubadilishia mboga...Hali ambayo siridhiki nayo.
Yaani nataka kuwa Tajiri Haswa ile ukifika mtaani waseme Flani naye ni Tajiri wa Huu Mtaa.
Nimewaza sana nikafikia uamuzi wa kutumia Nguvu za Giza maana kila niliyejaribu kuzungumza naye amejaribu kunisihi kwamba ukitaka kuwa tajiri lazima shetani awe na ukaribu na wewe.
Nimejaribu kufuatilia story za Matajiri wengi nimeona wao pia wameegemea sana upande wa Nguvu za Giza sina uhakika kama wapo au hawapo ambao wanategemea nguvu za Mungu.
Sasa ndugu ambao kidogo Mna idea ziwe hizo za Nguvu za Giza au kama kuna Njia Nyingine tofauti nipeni Mawaidha yenu ili Nifanikishe lengo langu.
Asanteni.
Ungesoma tu bila kuandika pia ni jambo la busara sana. Wanasema ukitaka kuona au kuelewa uwezo wa kufikir wa mtu basi mpe nafasi ya kuongea au mpe karatasi na kalamu aandike. Kwani mtu akiandika au kuongea anaonesha uelewa au ujinga wako hadharani.
Zimwage apa tupate woteUnataka utajiri serious au unabwabwaja tu? Kama upo serious njoo PM....I will give you the real techniques. Thanks
We jamaa una uwezo mkubwa San wa kuwaza tena San,ifanyie kazi akil ako zaid trust miUngesoma tu bila kuandika pia ni jambo la busara sana. Wanasema ukitaka kuona au kuelewa uwezo wa kufikir wa mtu basi mpe nafasi ya kuongea au mpe karatasi na kalamu aandike. Kwani mtu akiandika au kuongea anaonesha uelewa au ujinga wako hadharani.
Kweli hapo ni ngumuKama una mama au baba wa kumuweka store?nitafute nkupeleka...tafuta hela ya mganga na pumba za kumlisha mzazi wako akiwa store...
Notednavyojua ukitaka kupata pesa nyingi hakikisha unatafuta pato la pili tofauti na pato unalopata kila siku ukitegemea pato unalolipata la kila siku utashindwa kuendesha maisha yako utashindwa kuwa na asset pesa haikufanyi kuwa tajiri bali asset ndo itakufanya kuwa tajiri
Aisee si umwambie tu kuwa anawaua kuliko unavyomwambia hivyo eti storeKama una mama au baba wa kumuweka store?nitafute nkupeleka...tafuta hela ya mganga na pumba za kumlisha mzazi wako akiwa store...
AhahhahahMwaka hauishi dogo utakuja na uzi wenye kichwa 'KUNA MTU ANATAKA ANIOE, WADAU NIFANYEJE??? Rubbish