Nataka niachane na Wanawake nisifanye mapenzi tena

Ukila vizuri na kufanya mazoezi automatically mwili utahitaji sex,..kwaiyo ni ngumu kuacha, labda uwe unakula machips na makuku ya kisasa kila siku!!
Labda kama utakuwa unafanya mazoezi kama uko picnicking ila ikiwa ni mazoezi haswa ambapo unatoka hoi kimwili huwezi kuwaza huo upumbavu hata kama kila siku utakuwa unakula chakula sahihi cha asili.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sijajua kama ni upumbavu, ila mm nikifanya mazoezi na kula vizuri, machine automatically huwa haishikiki hata kama sijawaza kitu wala kuona pichu!!
 
Nilifanikiwa zaidi ya miaka mitano "5" bila ya kuendekeza michepuko zaidi ya wife tu na kwa ratiba maalum.

Nilikuwa nakimbia kwa zaidi ya dakika 75, kisha dakika 25 za mazoezi ya viungo kama kukata tumbo, squash, pushups zaidi ya 300 na mazoezi ni kila baada ya masaa 36 au 48, ratiba ya kazini iko pale pale, huo muda wa kuwazia visusio utaupata wapi zaidi ya kuwa mchovu tu wa mwili na kutaka kupumzika?

Back
Top Bottom