Nataka niachane na Wanawake nisifanye mapenzi tena

Nataka niachane na Wanawake nisifanye mapenzi tena

Huwezi kuwa mtu wa mazoezi hata ukifanya tabia mbaya ?

Au kuna kitu unatuficha ???tuambie tu ndugu😅



R.I.P nguvu za kiume
Nina nguvu vinzuri mkuu sina shida yeyote,kwani mtu ukiamua kutokufanya mapenzi mbona mnakimbilia kwenye nguvu za kiume??
Kwani uzi wangu haujasoma vyema??
 
Hivi unawezaje wezaje kuacha mbunye ikiwa tuu mtu ni rijali kamili na anaumwa yupo ktandani anawaza hiyo kitu, leo hii wewe uko timamu kabisa eti unaweza kuwa na wazo la mazoezi tuu bila kuikabili nyapu kweli??

Huo ni uongo kwa mtu ambaye tayari kashakubuhu kama wewe unavyojinasibu kuwa umeshafanya mara nyingi mwisho wa siku unakuta, hayo majuto ndio huwa yanawashinda wavuta sigara,walevi wa pombe, madawa nk hawatoki ndani ya hiko kitu moja kwa moja kwa haraka kuchukua muda mrefu sana.

Kichwa cha chini kinahitaji kishindwe kusimama chenyewe hapo ndio utaweza kuacha moja kwa moja.

KUMRADHI

Mnisamehe kwa maneno makali hapo juu wapendwa.
 
Nina nguvu vinzuri mkuu sina shida yeyote,kwani mtu ukiamua kutokufanya mapenzi mbona mnakimbilia kwenye nguvu za kiume??
Kwani uzi wangu haujasoma vyema??
Nakuelewa mkuu,piga mazoezi na kula vyemaaaa yaaan utakuwa kama kijana wa 15 year


Ila Kuna member mmoja alicomment sehemu
"Tutaisokomeza kama utambi" unalionaje hili suala? Na yeye akifanya mazoezi si atakuwa na stamina?
 
Nitakuwa fit sitaumwa ovyo ovyo na nitasave pesa zangu,maana nina watoto 2 sasa natafuta kipi tena kwa wanawake zaidi ya presha na kujikuta unamtoa mtoto wa mtu roho,ni Bora kutojihusisha nao kwani ni dhambi kutokufanya mapenzi?? Hiyo ni dhamira yangu
Umenikumbusha ule wimbo wa Profesa J na Ferooz kwenye wimbo wao wa Starehe.
 
Back
Top Bottom