pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
30,000 kwa mwezi ? Hii hela unafanya nayo nini ?Wakuu hamjambo??
Niende Moja kwa moja kwenye mada...Mimi nipo Kanda ya ziwa nilikuwa nafanya kazi sehem kwa bahati nzuri nilijikusanya kwa mshahara wa 400,000 nikafanikiwa kununua pikpik
Nataka kuacha kazi hii ya ualimu niende dar kuendesha boda hasa bolt...make naona kama nachelewa kutafta maisha... mashahara haunitoshi kabisa...
Hivyo wadau mlipo dar na mnaondesha boda uko dar baishara hii ipoje...make lengo langu nataka nipate 30,000 kwa mwezi...
Karibuni wadau kwa ushauri...nimechoka kuajiriwa pia nilivyokosa hizi kazi za ualimu za serikali ndo nimekata tamaa kbs
Hapana...nataka niende dar niwe napata 30,000 kwa siku....30,000 kwa mwezi ? Hii hela unafanya nayo nini ?
Mwanza hamna pesa mbonaKomaa hukuhuku njoo mwanza mjini ukienda dar utajuta
Labda ivyo naona wachapa kazi wanaipataHapana...nataka niende dar niwe napata 30,000 kwa siku....
Karibu sana Dar ya wote haina mwenyewe ....uwe malengo tuu....maana starehe nazo khaa maisha pia yako juuuu.....Hapana...nataka niende dar niwe napata 30,000 kwa siku....
Shilingi ngapi..?make lengo langu nataka nipate 30,000 kwa mwezi...
Kwa mwalimu kuweka saving ya hicho kiasi kikaukuta mshahara wa mbele yake ni hatua kubwa sana30,000 kwa mwezi ? Hii hela unafanya nayo nini ?
Kashajipanga uyo tayari ila Kuna sehemu maegesho bei 🙌🏾Dah nakwosa Ata cha kukushauri anyways ujue kuna gharama ya kiingilo cha kijiwe
👉Ni 200k + hadi milion moja kulingana na eneo la egesho
👉Upange, nyumba bei kuanzia 30k-60j huko buguruni, magomeni, manzese
Kimara 40k - 60k
👉Bill za maji si chini ya 5k-20k kutegemea na nyumba
👉Umeme si chini ya 10k-15k kwa mwezi kulingana na nyumba
Mengine utajikadiria bajeti ya maji ni 1400x30siku =42000 kwa maji special chupa mbili za Lita moja na nusu
Maji ya kandoro ni 400 x30siku=12000 chupa mbili
Utaamua Sasa wewe Kula si chini ya 140k kwa mwezi kama utatumia 5000 Kila siku
Ukiweza kopa saccos zenu uwe na hata 5m ununue piki oiki 2.....moja yako ...au anza na moja weeee izae ingine. Umpe kijana....ukiwa na mke baada miezi 6 mfungulie duka genge....sehemu ulipo kimara ay kinyerezi etc....utafute kiwanha nje mji hukooo kibamba ndani huko ....jenga vyumba 2 uwe kwako baasa mwaka.....fikiria baada miaka 5 ubadiki kabisa biashara....maana riski sana hiyo biashara over time....umri piaDah nakwosa Ata cha kukushauri anyways ujue kuna gharama ya kiingilo cha kijiwe
👉Ni 200k + hadi milion moja kulingana na eneo la egesho
👉Upange, nyumba bei kuanzia 30k-60j huko buguruni, magomeni, manzese
Kimara 40k - 60k
👉Bill za maji si chini ya 5k-20k kutegemea na nyumba
👉Umeme si chini ya 10k-15k kwa mwezi kulingana na nyumba
Mengine utajikadiria bajeti ya maji ni 1400x30siku =42000 kwa maji special chupa mbili za Lita moja na nusu
Maji ya kandoro ni 400 x30siku=12000 chupa mbili
Utaamua Sasa wewe Kila si chini ya 140k kwa mwezi kama utatumia 5000 Kila siku
Mimi naenda kutegemea bolt sio vijiweDah nakwosa Ata cha kukushauri anyways ujue kuna gharama ya kiingilo cha kijiwe
👉Ni 200k + hadi milion moja kulingana na eneo la egesho
👉Upange, nyumba bei kuanzia 30k-60j huko buguruni, magomeni, manzese
Kimara 40k - 60k
👉Bill za maji si chini ya 5k-20k kutegemea na nyumba
👉Umeme si chini ya 10k-15k kwa mwezi kulingana na nyumba
Mengine utajikadiria bajeti ya maji ni 1400x30siku =42000 kwa maji special chupa mbili za Lita moja na nusu
Maji ya kandoro ni 400 x30siku=12000 chupa mbili
Utaamua Sasa wewe Kula si chini ya 140k kwa mwezi kama utatumia 5000 Kila siku
Points.. uendeshaji wa chombo huku mikoani ni tofauti na wa jijiniDar ma learner ni wengi kuliko madereva walioiva ujitahidi kuwa makini wasije kukutawanyisha kama umepigwa na rpg
Eh bolt ndo commission uliyojiwekea au ndo Wanapata ivyo naona ushafatilia mshahara wa bolt 😹 na ili jua lazima uive kama ku
Nasikia ukiwa na bolt hiyo 30000 kwa siku unaipata chapuEh bolt ndo commission uliyojiwekea au ndo Wanapata ivyo naona ushafatilia mshahara wa bolt 😹 na ili jua lazima uive kama kuku
Sanaa Tena sanaBodaboda yenyewe unajua kuendesha..s