Dah nakwosa Ata cha kukushauri anyways ujue kuna gharama ya kiingilo cha kijiwe
👉Ni 200k + hadi milion moja kulingana na eneo la egesho
👉Upange, nyumba bei kuanzia 30k-60j huko buguruni, magomeni, manzese
Kimara 40k - 60k
👉Bill za maji si chini ya 5k-20k kutegemea na nyumba
👉Umeme si chini ya 10k-15k kwa mwezi kulingana na nyumba
Mengine utajikadiria bajeti ya maji ni 1400x30siku =42000 kwa maji special chupa mbili za Lita moja na nusu
Maji ya kandoro ni 400 x30siku=12000 chupa mbili
Utaamua Sasa wewe Kula si chini ya 140k kwa mwezi kama utatumia 5000 Kila siku