Nataka niache kazi niende Dar es salaam kuendesha boda yangu

Dar ma learner ni wengi kuliko madereva walioiva ujitahidi kuwa makini wasije kukutawanyisha kama umepigwa na rpg
Alafu kweli dogolasi anavizia nimelala anachukua mpira anaenda sijui wapi wakati najua lesseni yake ya juzi tu alafu anarud anapaki vile vile majirani masnitch ndio wananiambia me najifanya sijui ngoja aibutue siku ndio atajua kumbe nlikuwa najua, Malena wengi sana
 
Unapapenda buguruni 🤣
 
Hahaha 🤣
Baba wewe lazima upataje buguruni Kila unapoiongelea dar

Kwani gongo la mboto hawezi kwenda kuishi? Asile awe anafunga
Sipapendi huko mzee, marafiki zangu wote walioko gongo la mboto Kila mara wanalia, shida shida tu, alafu huko mtu huwezi hamasika kukua kimaisha, bora buguruni panavonuka unaweza Pata hasira ya kuhama😂chapu chapu
 
Hahaha 🤣
Baba wewe lazima upataje buguruni Kila unapoiongelea dar

Kwani gongo la mboto hawezi kwenda kuishi? Asile awe anafunga
Sehemu inaitwa buguruni malapa😂na kweli watu wake wapo tayari wapige anza Kanon, mpaka mwananchi na malapa, ili wasevu Mia 600 ya nauli, alafu wauza mito kama wote
 
Sehemu inaitwa buguruni malapa😂na kweli watu wake wapo tayari wapige anza Kanon, mpaka mwananchi na malapa, ili wasevu Mia 600 ya nauli, alafu wauza mito kama wote
Ni noma sanaaaa mkuuu 😂
 
au basi tu..
Ngja nikutonye....
  • kama uliweza kununua pikipik ya 3mil kupitia mshahara. Bas jichange tena ufungue mrad/duka/kilimo/ufugaji ajiri. hko utapata pexa na kaz yako ukiendlea.
  • Dar joto mpka mfukon ndugu, japo boda wanapga pexa sema ukienda kule utabak na kaz moja
 
Kwa dar pesa ipo ila pia wanyang'anyi ni wengi.(namaanisha dada poa)
Sasa ww njoo na ushamba wako wa kisukuma uone wanawake weupe ukashoboka.
Wanakufungia ndani,wanakukamua mkwanja woote na nguo zako zinafuliwa hutoki ndani.
Anakuja kijana mmoja unatambulishwa ni shem wako unampa chombo ameagizwa na dada yake weee siku 3 haonekani na kila ukiuliza unapewa papuchi sasa siku ya siku wewee unapigiwa makelele ya mpenzi king'ang'anizi ndo utalijua jiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…