Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Sio kweli
Kuna walimu wanafanya kila kitu
Walimu wanafanya ualimu biashara na uchawi na wengine ni wachungaji kuna Ma-MCs kuna makocha marefaree mpaka TFF zinawatumia
Ufinyu wako wa akili usiuhusushe na professional
Walimu hawa hawa ndani ya top layer watano wa nchi hii walimu wamo
Ukishindwa umeshindwa wewe sababu sio ualimu na kuna wanaoutaka na hawaupati
Ushauri mzuriJiajiri kabla hujaacha kazi, Halafu sasa ndio uache kazi .
Wengi huwa hawajui biashara au kilimo ni shughuli anayoweza kufanya mtu yoyote ila ajira wanapewa na kupata watu wachache tena kwa sifa maalumuJiajiri kabla hujaacha kazi, Halafu sasa ndio uache kazi .
Sema una hali ngumu, mimi Mwl na sina hali ngumu.Walimu tuna hali ngumu
Yaah ni kweli mkuu, uko sahihi unachokizungumza ..Wengi huwa hawajui biashara au kilimo ni shughuli anayoweza kufanya mtu yoyote ila ajira wanapewa na kupata watu wachache tena kwa sifa maalumu
Yeye aendelee na ualimu huku anafanya biashara awe analima anaimba kwaya anabeti anaendesha bodaboda anauza duka n.k
Hata hao unaowaona sijui wabunge wakurugenzi n.k. mbona wanafanya hivyo hivyo na hawaachi kazi?
Tena wakitolewa wanapambana warudi kazini??
Maneno ya huyu mhasibu yamenikera sana.
Bora kuuza Kangala na kufanya biashara.
" Mimi sio kama walimu, mshahara ukitoka siku mbili tu hawana kitu" Mhasibu wa halmshauri yetu.
Mbaya zaidi anakula na demu wako.
Insane 😆😆Kama wewe ni kijana chini ya miaka 40 Jiunge na ACT au chadema ugombee Udiwani mwakani.
Wazee wabaki CCM ili iwe rahisi kuwapiga mitama na kuwafungia ndani siku ya uchaguzi wasituchagulie wauaji.
Kangala ni niniManeno ya huyu mhasibu yamenikera sana.
Bora kuuza Kangala na kufanya biashara.
" Mimi sio kama walimu, mshahara ukitoka siku mbili tu hawana kitu" Mhasibu wa halmshauri yetu.
Mbaya zaidi anakula na demu wako.
Uo ni wimbo mkuu, mimi sio teacher..Sema una hali ngumu, mimi Mwl na sina hali ngumu.