Nataka niache kazi ya ualimu nijikite zaidi kwenye biashara

Nataka niache kazi ya ualimu nijikite zaidi kwenye biashara

Sio kweli

Kuna walimu wanafanya kila kitu

Walimu wanafanya ualimu biashara na uchawi na wengine ni wachungaji kuna Ma-MCs kuna makocha marefaree mpaka TFF zinawatumia

Ufinyu wako wa akili usiuhusushe na professional

Walimu hawa hawa ndani ya top layer watano wa nchi hii walimu wamo

Ukishindwa umeshindwa wewe sababu sio ualimu na kuna wanaoutaka na hawaupati
 
Mwambie huyo kiazi mabululu,muache aache kazi aone mtaani kulivyo
 
Jiajiri kabla hujaacha kazi, Halafu sasa ndio uache kazi .
Wengi huwa hawajui biashara au kilimo ni shughuli anayoweza kufanya mtu yoyote ila ajira wanapewa na kupata watu wachache tena kwa sifa maalumu

Yeye aendelee na ualimu huku anafanya biashara awe analima anaimba kwaya anabeti anaendesha bodaboda anauza duka n.k

Hata hao unaowaona sijui wabunge wakurugenzi n.k. mbona wanafanya hivyo hivyo na hawaachi kazi?

Tena hujiulizi kwanini wakitolewa huwa wanapambana warudi tena kazini??
 
Wengi huwa hawajui biashara au kilimo ni shughuli anayoweza kufanya mtu yoyote ila ajira wanapewa na kupata watu wachache tena kwa sifa maalumu

Yeye aendelee na ualimu huku anafanya biashara awe analima anaimba kwaya anabeti anaendesha bodaboda anauza duka n.k

Hata hao unaowaona sijui wabunge wakurugenzi n.k. mbona wanafanya hivyo hivyo na hawaachi kazi?

Tena wakitolewa wanapambana warudi kazini??
Yaah ni kweli mkuu, uko sahihi unachokizungumza ..

Unajua wengi wao hua wanaacha kazi kwa hisia tu halafu Wanakimbilia kuwekeza, Bahati mbaya ndio akutane na msimu mbaya shambani au Biashara inasumbua wanaanza kujutia kuacha kazi..

Hua saa nyingine nashauri kama huwezi kufanya vitu viwili kwa pamoja , unaomba likizo ya miezi miwili/mitatu kufanya uchunguzi wa kina kwenye sekta unayotaka kuwekeza ....
 
Maneno ya huyu mhasibu yamenikera sana.

Bora kuuza Kangala na kufanya biashara.

" Mimi sio kama walimu, mshahara ukitoka siku mbili tu hawana kitu" Mhasibu wa halmshauri yetu.

Mbaya zaidi anakula na demu wako.

Kama wewe ni kijana chini ya miaka 40 Jiunge na ACT au chadema ugombee Udiwani mwakani.

Wazee wabaki CCM ili iwe rahisi kuwapiga mitama na kuwafungia ndani siku ya uchaguzi wasituchagulie wauaji.
 
Mkuu,ualimu kwa nchi yetu ni changamoto lkn km uki utumia vizuri utanufaika, usifikirie kujenga wala kununua gari,fikiri nini utafanya mwisho wa siku acha baada ta kupata momentum.
 
Back
Top Bottom