Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

Joined
May 7, 2017
Posts
45
Reaction score
58
Habarin wana JF.

Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika. Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena.

Naomben ushaur nifanyaje?
 
Hahaha mwamba ujaamua tu me nimevuta kwa mda wa miaka 6 lakini siku moja niliamka na kusema kuanzia leo bangi basi nabadilika mpka leo huu mwaka wa 2 siijui bangi japo niliteseka sana ila nilikuja kuzoea hali mpka sasa namshukuru mungu ila sio kazi rahisi kuacha inaitaji maombi
 
Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app

Mkuu ilikuletea madhara yoyote?
 
Nini shida janja watu tulianza kusmoke marijuana tangu darasa la sita hadi hivi sasa tuna familia na hakuna tatizo wala nini.

Ila kama kichwa cha panzi itakuendesha achana nayo.
Stimulus nakubal. Shida nmeambiwa din aitak namm nipo kumrudia Almighty
 
Habarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika
Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?
Ukivuta inakuwaje? Unataka kuacha sababu watu wanasema Ni mbaya au sababu Ina side effect mbaya?
 
Hapana basi tu niliamua kuacha mwenyewe alafu kuna kale kaheshima flani kanashuka watu wako wa karibu wakijua unavuta bangi ujue kila mtu amekulia kwenye jamii tofauti ila bangi nzuri sana kuna stimu flan hv matata ukivuta

Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom