Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

Kuacha kitu ulichokizoea ni shida,mwenyewe kuna kitu nimekuwa addicted nashindwa acha japo nafight sana.Ko hapo kaz unayo mtoto wangu
I agree.
Hata mimi kuna kitu najitahidi kuacha lakini ikifika muda nahisi kukihitaji nateseka sana kujizuia nasema tu leo mwisho. Ila ni mateso sana kuacha kitu ulichozoea.
 
Habarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika
Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?
Endelea kuvuta kaya
 
Bangi ni moja ya stimulus nzuri sana ya ubongo..! Inakufanya uione dunia katika uhalisia wake..ni dawa mujarabu hasa! Usiache kula mmea mdogo wangu..!

Watu wenye "delicate brain" bangi haiwafai kabisa kwani brain yao ni too delicate to be stimulated, kumbuka sio kila mtu anaweza kuhimili nguvu ya bangi kichwani mwake, kifupi bangi inaharibu ubongo taratibu kwa wale ambao brain yao ni tough hivyo bangi ni stumulant yenye madhara ya muda mfupi na mrefu kwenye ubongo.
 
Mkuu mbona unatusaliti?mjani umekukosea nini?mbona unaiacha njia inayoelekea mjini,wewe unaishika iendayo porini?

Sikia bangi siyo haramu,tatizo watumiaji hawajui namna ya kutumia.yaani wanamaliza dakika 90,wakati uwezo wao hata dakika 45 hawawezi

NB:waweza kuacha Ili kujenga taswira nzuri kwenye jamii,familia,utimamu wa mwili n.k
 
Habarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika
Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?
Bado hujawa na strong reason(s) why unataka kuiacha kwa sababu attachment yake ni very strong. I smoked about 8 years non stop ila niliamua kuacha kwa cku1 kwa sababu nilikua navuta nakua relaxed na kuenjoy lakini ckutaka niendelee na hyo style ktk maisha yangu yote hasa ntakapoanzisha familia ambapo nilihisi ningeweza kuwaambukiza familia pasi wao kua na uwezo wa kujicontrol. Lakn pia nilianza program ya meditation ambayo nikajikuta nnapomeditate napata vibration ya juu zaid ya niliyokua nikiipata ktk stim ya ganja. Nilifanya maamuzi within a day huku nikiwa nimeinyonga nikaitupa and now ni mwaka wa pili I'm no longer need it again.
 
Tupe darasa mkuu kwa njia ya kumeditate unapataje ladha za juu ya bangi
 
Acheni kuvuta hayo makushabu vuteni bange inaitwa FUNGUS kitu kinatoka KINGSTONE JAMAICA sema bei yake ni mkasi kidogo.

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Unataka umwachie nani?

Endelea kupiga sakramenti wewe
 
Back
Top Bottom