Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

Tupe darasa mkuu kwa njia ya kumeditate unapataje ladha za juu ya bangi
Mkuu unapovuta dawa kinachofanyika ni kucalm your mind hivyo unaraise ur vibration ndo maana wadau wanadai unagoo high, lakn njia km meditation kadri utakavokua unanda deep ktk meditation unaenda high kuzidi hata level ya stimulation ya dawa. Meditation ni somo pana sana ila kuna wakuu humu jamvini hua wanalielezea vizuri sana, mfano pitia nyuzi za Mshana Jr
 
Habarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika
Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?
Mi nlivita non stop kila siku miaka 5 ila nlikuja acha siku moja tu bila kujiandaa kama wewe...nilikaa miaka 2 mbele sijawahi hata kusikia harufu ya moshi
1.Kikubwa pata shughuli yakukupa ubize...
2.badilisha mazingira kabisa na marafiki...mimi nilifanikiwa nilipata masela wapya wanaopenda mademu ila nilishindwa kuiga hii kwasababu inahitaji process na ni gharama ikanifanya nisahau kabisa moshi
 
Bado hujawa na strong reason(s) why unataka kuiacha kwa sababu attachment yake ni very strong. I smoked about 8 years non stop ila niliamua kuacha kwa cku1 kwa sababu nilikua navuta nakua relaxed na kuenjoy lakini ckutaka niendelee na hyo style ktk maisha yangu yote hasa ntakapoanzisha familia ambapo nilihisi ningeweza kuwaambukiza familia pasi wao kua na uwezo wa kujicontrol. Lakn pia nilianza program ya meditation ambayo nikajikuta nnapomeditate napata vibration ya juu zaid ya niliyokua nikiipata ktk stim ya ganja. Nilifanya maamuzi within a day huku nikiwa nimeinyonga nikaitupa and now ni mwaka wa pili I'm no longer need it again.
hiyo meditation ndo inakuaje mkuu [emoji3166] nijuz tafadhali
 
Miaka mingi ilopita pana brother wangu alinambia ukiwa unavuta bhangi ukifika miaka 50 bado unavuta inakuwa ngumu kuacha nimekuja kuamini haya nina rafiki zangu wanne wa utotoni tumegota 50 na hawana mpango wa kuacha mimi sijawahi kuvuta kitu hicho
 
Habarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika
Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?
Miaka mitatu Bado michache Sana tuendelee kodogo mkuu
 
Mkuu! Unakosea sana, sio unakosea kuacha bange, laa! Unachokosea kuja kuomba ushauri humu Jamii Forums!
Kwanini utake kumfuata Mungu halafu ushauri unamuomba Kaisari???.
Maoni yangu: Wafuate viongozi wako wa kidini, naamini hao watakuelekeza vizuri jinsi ya kuacha na jinsi ya kuwa karibu na Mungu wako ambae hapendi bange!.
Ushauri kwa wote: unapotaka kuoa usiombe ushauri kwa "Mabachelor"
Nashukuru. Ila ishu iyo ni psychological issue hata humu wa2 wanatoa ushaur mzur koz nia ya moyo inajua nin inataka
 
Mimi kuna Ndugu yangu kawa Chizi kabisa, hata asipovuta haeleweki, kuna siku kaenda mpaka Mikese kwa miguu.
 
I agree.
Hata mimi kuna kitu najitahidi kuacha lakini ikifika muda nahisi kukihitaji nateseka sana kujizuia nasema tu leo mwisho. Ila ni mateso sana kuacha kitu ulichozoea.
Sio kula chocolate kweli?
 
Back
Top Bottom