Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

Bangi tamuuuh wee, [emoji23][emoji23]
Bangi tamu sana. Niliamua kuacha pombe kwa sababu niliyaona madhara mengi kwenye ulevi, wakati bangi nina miaka mingi navuta sijaona madhara yake.
Kwanza kitu natural, pili ukishawaka ni peace and love.
 
Fuata Ushauri utakaopewa na viongozi wako wa dini.

Shetani yupo kila sehemu akitafuta wa kuwakamata na kuwatumikisha.
 
unaacha kwakua dini haitaki au wewe mwenyewe umeamua,kama unaipenda ila unaogopa dini ushafeli
 
Uvutaji wa sigara ndio hatari kwa afya yako..ganja ina faida nyingi ukiitumia vizuri.
i smoke ganja everyday!
 
Nenda kituo cha polisi kilicho karibu yako waambie wakuweke lock up miez mitatu hope utazoea tu mwamba.
 
Back
Top Bottom