Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Alafu yeye aishi yapiMpe Yesu maisha yako utasahau hiyo bange
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu yeye aishi yapiMpe Yesu maisha yako utasahau hiyo bange
Mkuu unapovuta dawa kinachofanyika ni kucalm your mind hivyo unaraise ur vibration ndo maana wadau wanadai unagoo high, lakn njia km meditation kadri utakavokua unanda deep ktk meditation unaenda high kuzidi hata level ya stimulation ya dawa. Meditation ni somo pana sana ila kuna wakuu humu jamvini hua wanalielezea vizuri sana, mfano pitia nyuzi za Mshana JrTupe darasa mkuu kwa njia ya kumeditate unapataje ladha za juu ya bangi
Mi nlivita non stop kila siku miaka 5 ila nlikuja acha siku moja tu bila kujiandaa kama wewe...nilikaa miaka 2 mbele sijawahi hata kusikia harufu ya moshiHabarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika
Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?
Utamu wa ngoma ucheze bwanaM natamani nianze kuvuta bangi..naombeni experience...mana nmechoka kusimuliwa.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
hiyo meditation ndo inakuaje mkuu [emoji3166] nijuz tafadhaliBado hujawa na strong reason(s) why unataka kuiacha kwa sababu attachment yake ni very strong. I smoked about 8 years non stop ila niliamua kuacha kwa cku1 kwa sababu nilikua navuta nakua relaxed na kuenjoy lakini ckutaka niendelee na hyo style ktk maisha yangu yote hasa ntakapoanzisha familia ambapo nilihisi ningeweza kuwaambukiza familia pasi wao kua na uwezo wa kujicontrol. Lakn pia nilianza program ya meditation ambayo nikajikuta nnapomeditate napata vibration ya juu zaid ya niliyokua nikiipata ktk stim ya ganja. Nilifanya maamuzi within a day huku nikiwa nimeinyonga nikaitupa and now ni mwaka wa pili I'm no longer need it again.
Kwanini nisijaribu?nataka ni experience ila nione yasemwayo ni kweli.Nakushaur usijarib ukila jani.hutoacha
Bila shaka ni kupiga akudo[emoji16]Kuacha kitu ulichokizoea ni shida,mwenyewe kuna kitu nimekuwa addicted nashindwa acha japo nafight sana.Ko hapo kaz unayo mtoto wangu
Hapo ndipo unapokwamia sasaStimulus nakubal. Shida nmeambiwa din aitak namm nipo kumrudia Almighty
Miaka mitatu Bado michache Sana tuendelee kodogo mkuuHabarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika
Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?
Nashukuru. Ila ishu iyo ni psychological issue hata humu wa2 wanatoa ushaur mzur koz nia ya moyo inajua nin inatakaMkuu! Unakosea sana, sio unakosea kuacha bange, laa! Unachokosea kuja kuomba ushauri humu Jamii Forums!
Kwanini utake kumfuata Mungu halafu ushauri unamuomba Kaisari???.
Maoni yangu: Wafuate viongozi wako wa kidini, naamini hao watakuelekeza vizuri jinsi ya kuacha na jinsi ya kuwa karibu na Mungu wako ambae hapendi bange!.
Ushauri kwa wote: unapotaka kuoa usiombe ushauri kwa "Mabachelor"
Kipihicho?Kuacha kitu ulichokizoea ni shida,mwenyewe kuna kitu nimekuwa addicted nashindwa acha japo nafight sana.Ko hapo kaz unayo mtoto wangu
Kipihicho mkuu?Kuacha kitu ulichokizoea ni shida,mwenyewe kuna kitu nimekuwa addicted nashindwa acha japo nafight sana.Ko hapo kaz unayo mtoto wangu
Bangi kama inakudhuru acha; hasa nyie mnaovuta na njaa bila lishe ya kutosha!! Wenzenu wanaoshiba wanafungua mpaka bar za kuvuta bangi!!!Mpe Yesu maisha yako utasahau hiyo bange
Sio kula chocolate kweli?I agree.
Hata mimi kuna kitu najitahidi kuacha lakini ikifika muda nahisi kukihitaji nateseka sana kujizuia nasema tu leo mwisho. Ila ni mateso sana kuacha kitu ulichozoea.
Ha ha haa,ndo nnBila shaka ni kupiga akudo[emoji16]