anonymous_blue
Member
- May 7, 2017
- 45
- 58
Hahaha mwamba ujaamua tu me nimevuta kwa mda wa miaka 6 lakini siku moja niliamka na kusema kuanzia leo bangi basi nabadilika mpka leo huu mwaka wa 2 siijui bangi japo niliteseka sana ila nilikuja kuzoea hali mpka sasa namshukuru mungu ila sio kazi rahisi kuacha inaitaji maombi
Sent from my EML-L29 using JamiiForums mobile app
Nitaleta uziFunguka tukusaidie wanasaikolojia haha
Naitaj therapy😅Funguka tukusaidie wanasaikolojia haha
Stimulus nakubal. Shida nmeambiwa din aitak namm nipo kumrudia AlmightyNini shida janja watu tulianza kusmoke marijuana tangu darasa la sita hadi hivi sasa tuna familia na hakuna tatizo wala nini.
Ila kama kichwa cha panzi itakuendesha achana nayo.
😅😅 level nyngnine sio dunia hii yan nasafir angami ni taam bhnaaUkishavuta unajisikiaje?
Kuacha kitu ulichokizoea ni shida,mwenyewe kuna kitu nimekuwa addicted nashindwa acha japo nafight sana.Ko hapo kaz unayo mtoto wangu
Ukivuta inakuwaje? Unataka kuacha sababu watu wanasema Ni mbaya au sababu Ina side effect mbaya?Habarin wana JF. Mimi ni kijana mwenye Umri 28. Moja kwa moja niende kwenye kichwa husika
Nimekua mvutaji wa bangi kwa miaka kama mi3 mpaka sasa, Nataman sana niache kwasabab nimeambiwa ni dhambi na dini hairuhusu kila nkijitaid kukaa bila kuvuta najikuta narud tena. Naomben ushaur nifanyaje?