Lutandagula
JF-Expert Member
- Apr 8, 2018
- 1,762
- 2,154
Mrembo kumbe na wewe upo kwenye smoker's club.Bangi ni nzurii
Bangi tamu sana. Niliamua kuacha pombe kwa sababu niliyaona madhara mengi kwenye ulevi, wakati bangi nina miaka mingi navuta sijaona madhara yake.Bangi tamuuuh wee, [emoji23][emoji23]
Sivuti lakin ni nzuri tu hahahaMrembo kumbe na wewe upo kwenye smoker's club.
HIGHUkishavuta unajisikiaje?
in magufuli voiceUsiache kuvuta bangi, bangi ni mmea wa asili, bangi ni nzuri kwa afya