Nataka niache kuvuta bangi lakini nashindwa

Serikali ilikuwa inatoa mwongozo kuhusu bangi jana. Ilitoa mwongozo gani?
Senses na perceptions zipo chini ya akili. Zinaongozwa na akili. Mtu akikulaani, unatukana. Lakini ukiithibiti akili yako huwezi kutukana kwa sababu utaumiliki ulimi.
Mkono ndio unachukua bangi. Ukiimiliki akili yako mkono hautafanya jambo ambalo hutaki ufanye.
Senses maana yake macho, masikii, pua, ulimi na ngozi.
Perceptions maana yake
Mikono, miguu ulimi, organ of generation na organ of excretion.
Wachumi( economists) wengine wanaamini uchumi unaweza kuendelezwa na hela za IMF/World Bank au maendeleo yanaweza kuwa ya narco economy. The end result will be the same.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…