Nataka niamini kuwa wapo viongozi wa dini ndio wanashiriki zaidi kumshauri Mukulu zaidi ya 75%

Nataka niamini kuwa wapo viongozi wa dini ndio wanashiriki zaidi kumshauri Mukulu zaidi ya 75%

Prof Koboko

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2020
Posts
350
Reaction score
2,550
Habari za saa wajumbe wangu,

Kuna ndoto ambayo nimeona na nikaamka usiku wa kuamkia jana kwamba viongozi wetu wa dini hasa hasa jamaa zetu wa Rome wanashiriki kumshauri mzee zaidi ya 75%.

Si vibaya kupewa ushauri wa kiroho kutiwa moyo namna ya kuwahudumia watu wako, lakini je kuna ukweli na uhalali ndani yake? Hakuna haramu kweli?

Yawezekana kabisa kabisa kwa yanayoendelea, kuvurugwa kwa uchaguzi, kura kuibwa, watu kuuawa na wengine kuteswa na kupigwa hawa viongozi wa dini wapo kimya wanaona sawa. Wanamtia mzee moyo bila kutazama kuwa hali si shwari. Kama sivyo kwanini hawa viongozi wa dini wamekaa kimya? Maovu hawataonja?

Ni Mungu yupi wanamwakilisha katika utumishi wao?

Hizi damu zilizomwagika katika uchaguzi huu kwanini mikono yao isiwe imechangia huko?

Ni ndoto lakini naendelea kutafakari, tuenda ikawa na maono ndani yake. Viongozi wa dini laana hii haitawaacha salama nawaambieni.
 
MMarekani waligeuza altare kuwa sehemu ya kunywa bia, nilishangaaa kwa mara ya kwanza kuona ila kwa sasa najumuika nao kupiga mvinyo altareni mpaka Lyamba.
 
Ubani wa CHETEZO huwa haubariki HARAMU ..ukilazimisha moshi HAUPANDI JUU...hutawanyika....
 
Back
Top Bottom