KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Hamna mambo ya Mungu, kuna mambo ya rohoni. Hawa mabingwa wa ulimwengu wa rohoni nataka washindane hadharani. Maana wanayoyafanya kwenye ulimwengu wa roho yanadhihirika kwenye ulimwengu wa mwili (ulimwengu wandamu na nyama)Mambo ya Mungu hayana mashindano
Hah haha hahMkuu,usisahau kunitag ili nikashuhudie huo mpambano wa hao Wafanya biashara.
This one😂😂😂Utawaandaa vizuri tu alafu mwisho utagundua wote ni waganga
Kwani nabii eliya na wale miungu wa baali ilikuwaje..?Mambo ya Mungu hayana mashindano
Kwakua wote ni ma Artist, waigizaji matata, hapo pambano litakua droo maana kila mmoja atapandikiza mamluki kwenye kundi la wenzie ambao watadondoka na kuanza kutoa shuhuda za uongoUkipita sehemu za wanamaombi utasikia wakiutuma moto (wanapiga faya) kwenda kwa shetani, mapepo, wachawi na waganga.
Ukiingia kwenye makanisa yao utakuta watu wamepagawa na mapepo, mapepo yanasema naungua, naungua, usinichome, natoka.
Kuna watu wanasema huko makanisani kuna maigizo na hizo kelele haziakisi ukweli wowote. Sasa kuondoa ubishi, nimeona nije na pambano la wazi ambalo walokole watapambana wa waganga tuone ni kundi gani lina nguvu zaidi.
Mipango inaendelea, mtajulishwa ni lini na wapi pambano litafanyika, na Zawadi zitakuwa ni zipi kwa washindi.
wale manabii wa baali walijifanya wajanja ikabidi nabii eliya awanyoosheKwani nabii eliya na wale miungu wa baali ilikuwaje..?