Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,107
Noted.... Kumbe na wewe ni muhenga wa rally.... Hunikosi section, na haswa Zenye mbwembwe.Ndio maana nikasema safari hii ya rally ya Tanga gari ilikuwa nzuri kuliko ilivyocheza Bagamoyo. Jumapili tarehe tisa .
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Kama ni Miler ana evo 9.Manii ivi babu alipata evo x?
Tanga vijana wenyeji walifanya vizuri sana Jush anasema atashiriki Arc BagamoyoNoted.... Kumbe na wewe ni muhenga wa rally.... Hunikosi section, na haswa Zenye mbwembwe.
Evo9 lakini udhamini ndo unampa jeuri ya kuimodify vizuri.... Lakini ana skills na mguu mzuri pamoja na navigator wake peter fox wanaelewana sana. Hapa bongo evo10 ni chache sana.Kama ni Miler ana evo 9.
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Atafute gari nzuri... 10 au gci12 aingie nayo..... Vinginevyo atakuwa anawasindikiza kina gurpar tuuu... Hapo sijamtaja jamil.Tanga vijana wenyeji walifanya vizuri sana Jush anasema atashiriki Arc Bagamoyo
Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Uwezo ndio unatuangusha angalia Uganda kwenye rally zao evo 10 ni zaidi ya 11 na washiriki ni wengi mpaka 50 wanafika .Evo9 lakini udhamini ndo unampa jeuri ya kuimodify vizuri.... Lakini ana skills na mguu mzuri pamoja na navigator wake peter fox wanaelewana sana. Hapa bongo evo10 ni chache sana.
Yake ni gc 10 imprezaAtafute gari nzuri... 10 au gci12 aingie nayo..... Vinginevyo atakuwa anawasindikiza kina gurpar tuuu... Hapo sijamtaja jamil.
Evo 10 uganda ziko kama njugu, kule ushuru wao uko chini sisi kinachotuumiza kodi, kwamfano ile evo x YA jamil ni 42mil ushuru kwa huku it makes sense ingekuwa 16mil tungeweza wengi.Evo9 lakini udhamini ndo unampa jeuri ya kuimodify vizuri.... Lakini ana skills na mguu mzuri pamoja na navigator wake peter fox wanaelewana sana. Hapa bongo evo10 ni chache sana.
Mimi nitaanza na Evo 9.. Kuna gari moja iko Nairobi ndio tunaivutia pumzi kidogoUnaingia na evo x? naona nianze na subaru
Nimetuma kipitia pmUna namba ya lege?