Nataka nianze kucheza mbio za magari Rally-Tanzania

Ndio maana nikasema safari hii ya rally ya Tanga gari ilikuwa nzuri kuliko ilivyocheza Bagamoyo. Jumapili tarehe tisa .

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Noted.... Kumbe na wewe ni muhenga wa rally.... Hunikosi section, na haswa Zenye mbwembwe.
 
Tafuta Toyota Yaris babake fanya injini modifications hizo gari nyingine zitakukuta umefika.. Naota tu kidogo kidogo
 
Tafute Toyota 86

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 
Noted.... Kumbe na wewe ni muhenga wa rally.... Hunikosi section, na haswa Zenye mbwembwe.
Tanga vijana wenyeji walifanya vizuri sana Jush anasema atashiriki Arc Bagamoyo

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Chukua mark x au verossa Mkuu.mtafute baba d kaloleni pale atakusaidia

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni Miler ana evo 9.

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Evo9 lakini udhamini ndo unampa jeuri ya kuimodify vizuri.... Lakini ana skills na mguu mzuri pamoja na navigator wake peter fox wanaelewana sana. Hapa bongo evo10 ni chache sana.
 
Tanga vijana wenyeji walifanya vizuri sana Jush anasema atashiriki Arc Bagamoyo

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
Atafute gari nzuri... 10 au gci12 aingie nayo..... Vinginevyo atakuwa anawasindikiza kina gurpar tuuu... Hapo sijamtaja jamil.
 
Evo9 lakini udhamini ndo unampa jeuri ya kuimodify vizuri.... Lakini ana skills na mguu mzuri pamoja na navigator wake peter fox wanaelewana sana. Hapa bongo evo10 ni chache sana.
Uwezo ndio unatuangusha angalia Uganda kwenye rally zao evo 10 ni zaidi ya 11 na washiriki ni wengi mpaka 50 wanafika .

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Atafute gari nzuri... 10 au gci12 aingie nayo..... Vinginevyo atakuwa anawasindikiza kina gurpar tuuu... Hapo sijamtaja jamil.
Yake ni gc 10 impreza

Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
 
Anza na Evo 9.. Umenitangulia kidogo mimi mwakani lazima niingie mzigoni..
 
Evo9 lakini udhamini ndo unampa jeuri ya kuimodify vizuri.... Lakini ana skills na mguu mzuri pamoja na navigator wake peter fox wanaelewana sana. Hapa bongo evo10 ni chache sana.
Evo 10 uganda ziko kama njugu, kule ushuru wao uko chini sisi kinachotuumiza kodi, kwamfano ile evo x YA jamil ni 42mil ushuru kwa huku it makes sense ingekuwa 16mil tungeweza wengi.
 
Tunning na modification muone Dharam Pandya anao mafundi wenye weledi huo
 
Back
Top Bottom