Nataka nianze kucheza mbio za magari Rally-Tanzania

Dah kweli kila mtu na fani yake...yaani kinachojadiliwa hapa na lugha inayotumika unaweza usielewe chochote..unabaki tu na idea kwamba ni mbio za magari..
 
Nénda iringa ulizia ofisi za mkwawa rally wana garage yao kwahiyo ni rahisi zaidi pia unaweza kusajiliwa hata na timu yao ya kina wapo kina Babu,huwel kijukuu cha mkwawa na wengineo

sent from posta
 
Nénda iringa ulizia ofisi za mkwawa rally wana garage yao kwahiyo ni rahisi zaidi pia unaweza kusajiliwa hata na timu yao ya kina wapo kina Babu,huwel kijukuu cha mkwawa na wengineo

sent from posta
Mkuu niko Dar, nafikiri mambo yatajipa ntapata huku. huwel mwakajana hakumaliza rally kama sikosei
 
Mkuu niko Dar, nafikiri mambo yatajipa ntapata huku. huwel mwakajana hakumaliza rally kama sikosei
Gari yake ilianguka ushindi alichukua Babu ndo maana wakamsajili kwenye timu ya mkwawa rally maana ile timu ni ya kina huwel

sent from posta
 
Mkuu niko Dar, nafikiri mambo yatajipa ntapata huku. huwel mwakajana hakumaliza rally kama sikosei
Huwel saiv ana gari mpya ni hatari, nimemuona kwenye mbio za iringa mwaka huu ile gari ni nzuri labda ashindwe kuitumia
 
Kwenye rally muhimu zaidi ni dereva lazima uwe vizuri sana. Kwa hapa bongo gari yenye uwezo mkubwa sana si kigezo kivile kwa kuwa barabara zinazotumika kwa rally si nzuri sana kiasi kwamba hata kama uko na gari yenye uwezo mkubwa huwezi kutumia uwezo wote wa gari.
Kibongobongo hata ukiwa na runnex au polo zilizo simama na kufanyiwa marekebisho kwenye baadhi ya mifumo yake upo uwezekano mkubwa wa kufanya vizuri.
 
Mi huwa simuelewi Mbatta na kile kigari chake hivi anaamini kuna siku atakuja kushinda kweli?
 
umeiona Subaru mpya ya Pandya??
 
ni kweli kwa kuanza madereva wengi wanashauri anza na N10 au N9 Subaru....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…