Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu niko Dar, nafikiri mambo yatajipa ntapata huku. huwel mwakajana hakumaliza rally kama sikoseiNénda iringa ulizia ofisi za mkwawa rally wana garage yao kwahiyo ni rahisi zaidi pia unaweza kusajiliwa hata na timu yao ya kina wapo kina Babu,huwel kijukuu cha mkwawa na wengineo
sent from posta
Gari yake ilianguka ushindi alichukua Babu ndo maana wakamsajili kwenye timu ya mkwawa rally maana ile timu ni ya kina huwelMkuu niko Dar, nafikiri mambo yatajipa ntapata huku. huwel mwakajana hakumaliza rally kama sikosei
Huwel saiv ana gari mpya ni hatari, nimemuona kwenye mbio za iringa mwaka huu ile gari ni nzuri labda ashindwe kuitumiaMkuu niko Dar, nafikiri mambo yatajipa ntapata huku. huwel mwakajana hakumaliza rally kama sikosei
Mchezo wa magari kwa mazingira ya huku kwetu ni kama wa kujifururahisha tu.Mi huwa simuelewi Mbatta na kile kigari chake hivi anaamini kuna siku atakuja kushinda kweli?
umeiona Subaru mpya ya Pandya??Chukua evo9 au 10. Ufunguliwe dog box hapo kidogo utakuwa umeingia kwenye rally....
Ila Kama una uwezo nunua fiesta Kama ya Ahmed uwehl wa Mkwawa.... Hizo ndo gari za rally sasa hivi.... Japo ni Gharama lakini ni rahisi kufabricate na kuingia barabarani.
Mi huwa simuelewi Mbatta na kile kigari chake hivi anaamini kuna siku atakuja kushinda kweli?
Habarini,
Kama nilivyosema hapo juu,
Nataka nianze kushiriki mbio hizi, nafahamu humu kuna wadau wa rally sasa nipeni mwongozo pa kuanzia kujiunga na mshindano haya pia wadau wengi mna prefer gari ipi kati ya Subaru impreza wrx na Evo 9 ni moja ya hizo gari hapo nataka nichukue Japan ambayo pia sijajua ni sehemu ipi Dar naweza kuifanyia Tuning na kupata accesories za kufunga kwa ajili ya rally kama hizo.
Racing Pistons
High flow fuel injectors
High capacity oil cooler
na upande wa suspension
Engine Torque Damper
camber kit
Coil-over suspension system
Na gari amabzo hadi sasa niko kwenye mchakato kuzivuta kwa mchezo ni;
View attachment 541121View attachment 541132View attachment 541123
Wadau wa rally nipeni mawili matatu muhimu kabla sijafikisha gari moja wapo nchini, asanteni wakuu wenzangu.
Gari ya Taylor usiichukulie poa. Ina mashine ya evo 9 ila body ndio ya old school.ah ah ah Unamshangaa Mbata, je kina Taylor??