Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Mimi I am late 30's naelekea ile wanasema life start at......Wakuu am on my late 20's nimefanya tathmini nikaona Ni vyema niwe Na utaratibu wa kufanya mazoezi now nsisubiri uzeeni au nkikaribia kuzeeka ndo nianze mazoezi......Nataka mazoezi niwe nafanyia home tu Sio gym...naombeni muongozo Nini vya kuzingatia Na nifanye mazoezi ya aina gani
Nafanya mazoezi mara kwa mara tangu zamani.
Mazoezi ni moyo na mindset yako.
Ili uweze kufanya mazoezi kila mara zingatia yafuatayo.
1. Fahamu malengo yako kwenye mazoezi ni nini.
2. Pangilia muda wako sahii kwa ajili ya mazoezi.
3. Chagua aina za mazoezi kutokana na malengo na mwili wako.
4. Nunua nguo/outfit ambazo zitakukaa vyema ili mazoezi yasikupe maumivu. Viatu, bukta, t shirt....
5. Kama ni mvivu tafuta mwenza wa mazoezi.
6. Weka alamu ya muda wa mazoezi.
Mazoezi ni mazuri. 2022/23 nilipunguza uzito kutoka 99kg mpaka 79kg. Ila baadae nikaona nmepungua sana nikamaintain 83kg.
Kama mnywaji kama sie itakusaidia kupunguza na gambe kidogo.