KotelaMamba
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 828
- 1,506
Mpaka hapo hujashtuka kwamba unaibiwa?Wakuu, hasa kwa Wanaume tunaowapa wake zetu mitaji, leo nimepata wazo...nahitaji ushauri kidogo.
Mke wangu ni mjasiriamali, tokea nimemuoa yeye ni mtu wa biashara.
Kipindi cha maandalizi ya harusi yetu, aliweka pesa nyingi sana kwenye maandalizi ya sendoff yake.
Tunaingia kwenye ndoa mtaji wake ukiwa hoi.
Ikabidi nitoe kama 13M hivi kupush mtaji ili awe stable, offcoz biashara ikasimama poa, nikapata janga kidogo 2016 baada tu ya uchaguzi wa 2015 (kazi zangu zikasimama)
Most of biashara zake ndio zikawa zinapush life, naanza kurecover 2017 narudi job, biashara zake zikawa zimedorora sana nikahisi mimi ndio chanzo...anyway nilivyorudi tu job, nikakopa bank nikampa 12M pamoja na kutoa mahitaji yote ya home. Lazima kila mwezi niweke 600k home...(exclude ada za watoto).
2020 wakawa wanajenga kwao japo alifanya kimya kimya, ila nilijua yeye na Dada yake waliwajengea wazazi wao...so business ika drop(walifanya kitu kikubwa kuliko uwezo)
Malalamiko yakaanza tena, anyway kwasababu madeal yangu yalikuwa poa nikamjaza tena 10M kupush mtaji...in most cases biashara yake inamhudumia mwenyewe kwangu ni poa, hela ya nywele, nguo zake n.k huwa anafanya mwenyewe...
This time amekuja tena na wazo lakuomba kuongezewa mtaji, abadilishe na kuongeza biashara.
Na mimi nina maeneo yangu nataka kuyajenga sasa...
Nimemwambia nimkopeshe 25M ila ajue atairejesha, na njia atakayotumia ni mimi kutokutoa matumizi ya ndani, ile 600k atoe yeye kama marejesho...kakataa, kwasababu huko nyuma sikufanya hivyo...
Maisha yanabadilika umri unakwenda na bado sijafanya uwekezaji ninaoutaka!
Hapo nakosea? Je, maamuzi yangu ni sahihi au nakosea?
😃😃 sasa naibiwaje...wazo langu liko waziMpaka hapo hujashtuka kwamba unaibiwa?
Anyway ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa.
Nuchefumo😃😃 sasa naibiwaje...wazo langu liko wazi
Hapo ndipo ninapopataka sasa.Duh unakosea... hapo simuna jenga uchumi wa familia au kila mtu anabiashara yake ambayo haihusiani na mambo ya familia?
Una shauri nini? Nitoe tu mtaji? SasaAcha ujuha
Napokea ushauri mkuuMke wako unamjua vze kuliko sisi, kama unaona ataharibu mpe hata nusu kuliko kutompa kabisa
Ndoa yao ni sawa na ndoa ya tanganyika na zanzibari, cha kwao cha kwao ila cha watanganyika ni cha wote.Duh unakosea... hapo simuna jenga uchumi wa familia au kila mtu anabiashara yake ambayo haihusiani na mambo ya familia?
Nataka sasa iwe nchi moja.Ndoa yao ni sawa na ndoa ya tanganyika na zanzibari, cha kwao cha kwao ila cha watanganyika ni cha wote.
Duh wayamalize wao wenyewe.Ndoa yao ni sawa na ndoa ya tanganyika na zanzibari, cha kwao cha kwao ila cha watanganyika ni cha wote.
Mkeo analea ving'asti.😃😃 sasa naibiwaje...wazo langu liko wazi
Hapo kuna mambo haya ✌️Nataka sasa iwe nchi moja.
Huyo ulimuona akiwa kwenye cycle ya biashara. Hatutegemei pesa zao lkn pia wazo.lako sibaya japo hatarudisha zote ila utapunguza usumbifu wa kuomba tena hata akiharibuNapokea ushauri mkuu
Hilo la kuwa na mambo mengine nisiyoyajua inawezekana, ila ilo la kulea mhhMkeo analea ving'asti.
Pia kuna mengi anayafanya sirini bila wewe kujua.
Umelijua hilo la kujenga nyumba bila kukushirikisha, sasa je jiulize ni mangapi anakuficha?
Kingine kuna uwezekano ana biashara ambazo wewe huzijui .
Hiyo unayoiona ni geresha tu.